Na sasa mnataka kuimaliza Kaskazini, lakin soon mtaondokaWaulizeni Viongozi wenu, Tanga ilikuwa best kuliko hata Dar, nini shida?
Kwani wenyeji wa Tanga ile wamehama?
Sasa kabla ya kujionesha kuwa una Ubongo kisoda walau tafakari.
Tanga ilikuwa ni industrial region nini shida mzee?.
Waulizeni wazee wenu hasa BM.
Na sasa mnataka kuimaliza Kaskazini, lakin soon mtaondoka
Na hiyo artificial city Chattle soon litakuwa boma la ng'ombe










Kuna mengi huyajui ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya....Tatizo Askofu Munga anashinda mitandaoni badala ya kushinda ofisini kutatua changamoto za dayosisi Yake ikiwemo hicho chuo.Serikali haiwezi peleka na kuteua mtu gani awe mkuu wa chuo kisicho Cha serikali.Serikali inachofanya Ni kuweka vigezo tu acha uongo
Hao mamwinyi lini ulisikia kwao kuna Njaa ? Tanga inajitosheleza sana kwa vitu vingi , nyie msio mamwinyi ndio masikini kweli kweli , sasa mnafanya kazi ya Punda tu kubeba mizigo ya boss wakati wenyewe mnakufa kwa umasikini , Rejea report ya BOT ukiikosa Tanga top 10 ya mikoa yenye maendeleo rudi hapaNaongelea tanga ya mamwinyi ambao hawapendi kujishughulisha.
Siku ukipita hapa Segera njia panda hebu fanya kunishtua ili nikufungashie machungwa mazuri na nazi za kutosha ili uwapelekee zawadi nyumbani!
Umewajibu vizuri hao wote wanaoleta kejeli kwenye hoja yenye mashiko iliyoletwa mezani na Mghoshi wa Ndima Mshana jr.





Yamejificha huko huko tanga Mume Askofu Munga Askofu mkuu KkKt tanga mkewe Mrs Munga mkuu wa chuo kikuu Cha kanisa la mumewe la KKKT tanga!!! Hapo lazima yawepo yaliyojifichaKuna mengi huyajui ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya....
Mimi napajua Lushoto ndio inayoongoza Tanzania nzima kwa kutoa mafundi wa kutengeneza koroboi,kurepair taa za chemli,kuziba viraka ndoo,madebe na mapipa na mafundi baiskeli.Unaifahamu vizuri Lushoto wewe
roho ya korosho na elimu wapi kwa wapi mzee. ulisoma nao wapi huko kulikokufanya usiweze hata kutofautisha haya mawili?Ukweli unauma, ni kwamba idadi kubwa ya watu wa Tanga ni roho korosho. Nimesoma nao, nimeishi nao, na nina fanya nao kazi.
Mimi napajua Lushoto ndio inayoongoza Tanzania nzima kwa kutoa mafundi wa kutengeneza koroboi,kurepair taa za chemli,kuziba viraka ndoo,madebe na mapipa na mafundi baiskeli.
Usichukue takwimu ya jumla angalia maisha ya mtu mmoja mmoja uangalie standard yao ya life.Hao mamwinyi lini ulisikia kwao kuna Njaa ? Tanga inajitosheleza sana kwa vitu vingi , nyie msio mamwinyi ndio masikini kweli kweli , sasa mnafanya kazi ya Punda tu kubeba mizigo ya boss wakati wenyewe mnakufa kwa umasikini , Rejea report ya BOT ukiikosa Tanga top 10 ya mikoa yenye maendeleo rudi hapa
Lushoto yote naifahamu mkuu,nimekaa sana pale kwa mzee BenUnaifahamu vizuri Lushoto wewe
Tafuta katika hao wanafunzi umpate mwenye vinasaba vya Tanga,
Nikiwa mmoja wa watu niliowahi kufanya "kazi maalum" SeKoMu,kuna mambo mengi sana mazito kwenye kile chuo.....but jua tu tatizo kubwa linaanzia kwa Mama Munga....
Shukran mkuu,ngoja niende kwa Muller nikaagize kinywajiKanunue soda kwa Mangi ntalipia aiseeee, unajua unachokisema hujabahatisha