Tanga... Kunani pale.?

Tanga... Kunani pale.?

Kama mtarejea mada yetu ya jana kuhusu SEKOMU,hapo nimejaribu kushare baadhi ya evidence kuonyesha kuwa wakuu bado hawataki kutazama tatizo lililopo kwa uhalisia wake,instead ni kujibizana na vijana kama hivyo. Huyo Mgani alikua staff member kama mimi kwa hiyo ana machungu bcz anafahamu mambo yalivyoenda View attachment 1154612
Weee mshana Jr kwamba ulikuwa staff member paler?!!acha uongo hebu jaribu kuthibitisha?
 
Weee mshana Jr kwamba ulikuwa staff member paler?!!acha uongo hebu jaribu kuthibitisha?
Hapana hiyo quote nimeitoa mahali kwenye mjadala uliokuwa ukiendelea kuhusu SECOM
 
Kama mtarejea mada yetu ya jana kuhusu SEKOMU,hapo nimejaribu kushare baadhi ya evidence kuonyesha kuwa wakuu bado hawataki kutazama tatizo lililopo kwa uhalisia wake,instead ni kujibizana na vijana kama hivyo. Huyo Mgani alikua staff member kama mimi kwa hiyo ana machungu bcz anafahamu mambo yalivyoenda View attachment 1154612
Sorry ulimaanisha Mgani au Munga.Maana SEKOMU Kuna Mgani na Munga.Maana Mgani namjua alikuwa lecture pale ndio ulikusudia huyo.
 
Yaani Tanga kutoa shule moja tu katika shule 10 za mwisho unashangaa , sasa Mkoa kama MARA uliotoa shule 3 za mwisho itakuwaje au zenji (mjini magharibi ) iliotoa shule 4 siungeongea mpaka upasuke mdomo, Tanga inakwenda vizuri chukua hii kwa faida yako

1.wasichana 10 bora mchepuo wa biashara , Tanga imetoa mmoja
2.wavulana 10 bora mchepuo wa biashara , Tanga imetoa 1
3.wasichana 10 bora mchepuo wa sayansa , Tanga imetoa 4
4. Wavulana 10 bora mchepuo wa sayansi , Tanga imetoa 0
5.Wahitimu 10 bora kitaifa (wavulana na wasichana) mchepuo wa Sayansi ,Tanga imetoa 1
6. Katika shule 10 bora kitaifa , Tanga imetoa 1
7. labda wewe uje useme mkoa wako na kipi kimefanya katika matokeo haya ya form 6
waliofanya haya ni watoto kutoka mikoa mengne na sio tanga... mtoa mada yupo sahihi ukitaka kujua hali ya ELIMU ni mbaya tanga fika tanga au angalia matokeo ya kidato cha NNE
 
Tafuta katika hao wanafunzi umpate mwenye vinasaba vya Tanga,
Hata hizo shule nzuri za kilimanjaro wanafunzi wengi sio wa kilimanjaro ndio mana shule zinapofungwa usafiri wa mikoa mingine kwenda na kutoka kilimanjaro hua wa shida sana
 
Kama mtarejea mada yetu ya jana kuhusu SEKOMU,hapo nimejaribu kushare baadhi ya evidence kuonyesha kuwa wakuu bado hawataki kutazama tatizo lililopo kwa uhalisia wake,instead ni kujibizana na vijana kama hivyo. Huyo Mgani alikua staff member kama mimi kwa hiyo ana machungu bcz anafahamu mambo yalivyoenda View attachment 1154612
Hivi mgani Yupo wap sku iz nasikia mwenzake mtoi Yupo makumira
 
Hasa huko Handeni kuna washiriki na maofisini balaa
Mimi niko handeni unachokisema hakina ukweli,huo ushirikina maofisini mimi sijauona na mimi ni mtumishi by the way watumishi wanatoka mikoa tofauti tofauti
 
Mimi niko handeni unachokisema hakina ukweli,huo ushirikina maofisini mimi sijauona na mimi ni mtumishi by the way watumishi wanatoka mikoa tofauti tofauti

Mimi sipo huko, hao wa huko tuliokuwa nao huku ndio shida sasa, mifano ya dhahiri ipo
 
Back
Top Bottom