Tanga kumekucha

Tanga kumekucha

Karibu sana ukumbini ndugu,

Baikoko tunaipatia wapi sasa? Kwa Minchi au pale Mwembe Mawazo??

Babu DC!!!

Duh!! Babu umenikumbusha mbali sana,mwembe mawazo.....lol!! Baikoko nzuri ipo Kisosora babu.
 
usagara hasaaa na makorora utaipata!
 
hawa jamaa wanaongea kiswahili kigumu sana.

Haswaaa!
Ukisikia Kwa Minchi, Kisosora, Kange, Mapana, Mabawa, Raskazone, Sabasaba, Sahare, Mikanjuni etc, ujua hapo waenda leo na kurudi leo. Wanajuana wenyewe hao
 
Haswaaa!
Ukisikia Kwa Minchi, Kisosora, Kange, Mapana, Mabawa, Raskazone, Sabasaba, Sahare, Mikanjuni etc, ujua hapo waenda leo na kurudi leo. Wanajuana wenyewe hao

Mwamböni,magaoni,mabawa,donge,mwakizaro,mwakidila,mwahako,masiwani,chumbageni,chuda,....nk nk nk..,
 
Mwamböni,magaoni,mabawa,donge,mwakizaro,mwakidila,mwahako,masiwani,chumbageni,chuda,....nk nk nk..,
Hizo ni zenu,
Sie zetu ni;
komakoma, kwa manjunju, kwa kopa, kwa manyanya, alimaua, kwa mtogole, kwa tumbo, kwa Bi. Nyau, kwa mama zakaria, n.k
 
Na sie zetu n kwa Aziz Ally, kwa mpili, kwa pile, kwa mbiku,n.k.
 
Hizo ni zenu,
Sie zetu ni;
komakoma, kwa manjunju, kwa kopa, kwa manyanya, alimaua, kwa mtogole, kwa tumbo, kwa Bi. Nyau, kwa mama zakaria, n.k
Kwa manyanya!!!ndo kinondoni yenyewe hiyo....vitongoji!mpewani,home alone vijana,kota,wibu,sekenke,togo mpaka american chips!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom