Tanga... jamani nasema Tangaaa

Yaan mimi hata likizo huwa sihangaiki na dubai wala zanzibar,mi ni Tanga tu utanikuta pale barabara ya9 na 6 *****
Au kule kwenye upepo wa pwaniii.nikianzia Tanga beach
Tanga mimi naona kwa kawaida sana kila nikinyatia watoto nakosa
 
mi hata sion uzur wa tanga na hata sion pa kwenda kutembea ukastareh yaan naona papo papo tu hakuna hata pa kwenda ni kujichosha tu
 
Kwa wenyeji wa Tanga naomba kualikwa japo kwa siku chache, nikajionee vitu mubashara
 
Mtumeee,tanga ndiko niliko chukua jiko kitu cha kidigo jamani nafaidi raha ya dunia kila idara ipo deko, mahabati,mapishi ndio kwenyewe Shekhe Uzi huu umenikuna Maji ya kuoga yananakshiwa jamani tanga tanga uuwiiiii tanga mambo safi sasa kwa manukato hapo mkuu ndio penyewe hadi sehemu zileee.....acha mchezo ama kweli tanga kunani
.
 
Mkuu Uzi huu tupia kila siku humu tuchangie umenikuna haki ya mungu jamani tanga mapenzi yalishukia pale hata mwanaume uwe mkatili VP pale lazima uwe mpoleee kimsingi wanajua MAHABATI mnoooo usiambiwe mkuu "ushapikiwa kshata ya maharage" acha kabsa.
 
Ntawezaje kujifunza niwe fundi wa kuchora hizo mambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…