Tanga fresh mko serious kweli?

Tanga fresh mko serious kweli?

Hiyo ladha ya tui la nazi ndio inanikera kabisa.., nimejaribu kumpa paka wangu ndio akanywa kwa shida sana. Mimi sio nafagilia mtu hapa.., ila tanga fresh mjifunze kutoka kwa wenzenzenu na mboreshe ladha ya maziwa.

TFDA mko wapi? naamin haya sio maziwa haris zitakuwa, kemikal za maabara
 
Hiyo ladha ya tui la nazi ndio inanikera kabisa.., nimejaribu kumpa paka wangu ndio akanywa kwa shida sana. Mimi sio nafagilia mtu hapa.., ila tanga fresh mjifunze kutoka kwa wenzenzenu na mboreshe ladha ya maziwa.

Ndimi zenu wenyewe hazina taste buds za kueleweka afu mnasingizia Maziwa tanga fresh na ilo hamuwezi fanikiwa kamwe kuvunja soko lake coz yame prove kuwa na ubora wa kweli i may say indeed hakunaga km tanga fresh tanzania
 
We endelea kunywa hilo tui la nazi.., we si ndie mwenye taste buds..
 
mimi huwa nayanywa daily na hayana shida yoyote. ni mazuri sana. labda umechanganya na kilimanjaro
 
mimi huwa nayanywa daily na hayana shida yoyote. ni mazuri sana. labda umechanganya na kilimanjaro
We umezoea kupanda farasi.., nakwambia kunakitu kinaitwa gari jaribu kupanda uone tofauti.., we unanijibu Mbona hawa farasi napanda daily NA hawana shida yoyote....?, una akilifupi sana..
 
aaah mi mbona ndo nakunywa sasa hivi taste gan unayoitaka ww!! tatizo mmezoea kuingia chumvini sana mpaka ulimi umexpire acha kuharibu soko la watu, nenda polisi kama vip eeeebooooo!!!
 
Just do a simple research nunua tanga fresh pakti moja na kisha nunua daily milk ya brookside pakti moja
then kunywa utajua choice gani is the best.

maziwa ni maziwa hata ya mama yeyoo ni masiwa, hata ya paka ni machiwa hahahaaaa
 
Ni mala ya kwanza unakunywa hayo maziwa na je, expiry date yake ilkkua haijafika? Maana mimi pia hua nakunywa sana hayo maziwa na nayapenda sana ladha yake

Kiswahili ni lugha yako ya Taifa, ulichoandika hapo ni nini?
 
Excorcist ni mbwa kutoka kenya anaipigia debe brookside. Nitakunywa Tanga fresh hata yatiwe sumu ya panya. Rudi kwenu kenya kama unaona vya kenya ni bora. Narudia tena wewe ni taxi bubu tu.

natumia mobile ila naombeni apewe like kwa niaba yangu
 
yale maziwa hayafai hata mimi juzi nimenunua,moro super market nilishangazwa na radha yake kama tui la nazi:A S confused:

si ungepost wewe au pili pili ya shamba inawawashia wa mjini? Eboooo
 
Hiyo ladha ya tui la nazi ndio inanikera kabisa.., nimejaribu kumpa paka wangu ndio akanywa kwa shida sana. Mimi sio nafagilia mtu hapa.., ila tanga fresh mjifunze kutoka kwa wenzenzenu na mboreshe ladha ya maziwa.

wenzenu sio wenzenzenu kilaza wewe!! ulongo mpaka unashindwa kujieleza
 
Maziwa ya Tanga fresh hayana ladha nzuri,hata ukikosa hayo ya brookside,jaribu ASAS Dairy milk uone yalivyo bora pamoja na ladha murua.
 
Huyu ---- hajui tanga fresh wametoa ajira.
Tukutane hapo ngamiani hospital

ajira gani hizo mbona mi nipo maeneo ya karibu na hapo kiwandani? anyway nipo njiani naelekea majani mapana kwa bibi
 
Back
Top Bottom