Huyu jamaa hana jipya, naona yupo katika kufanya matangazo, kwani alilazimishwa kununua hayo maziwa?
mkuu si unajua kazi ya kiroba jogoo?
Huyu jamaa hana jipya, naona yupo katika kufanya matangazo, kwani alilazimishwa kununua hayo maziwa?
ajira gani hizo mbona mi nipo maeneo ya karibu na hapo kiwandani? anyway nipo njiani naelekea majani mapana kwa bibi
Yalikuwa hayaja expire.., na hii ni mara ya pili.., hata mara ya kwanza yalikuwa hivi hivi.., nikafikiri watakuwa wame improve..lakini wapi.., em' kunyweni brooklyn afu ndio mje kuongea hapa..
Mkuu hapo kwenye red ndo kuna shida, kifupi ni kuwa unaitangaza biashara yako na mpinzani wako unahisi ni Tanga Fresh. Ungekuja na sifa za product yako (brookside) na siyo hivi ulivyokuja.Huku tabata mkuu.., inawezekana wameshakuzoeza quality mbovu kiasi kwamba hujui good quality milk ikoje. Onja brookside then rudi hapa useme..
Mapana sokoni karibu na kanisa au??
nakunywa sana Tanga Fresh..sijawahi kukutana na kitu kama hicho
Wanafanya kazi kwa mazoeaTFDA mko wapi? naamin haya sio maziwa haris zitakuwa, kemikal za maabara
Hivi inawezekana huku tabata kuna kiwanda bubu cha kuchakachua hay a maziwa nini..?ni kweli mkuu nami nipo tabata na nina uzoefu wamiaka mingi na maziwa. hayani maji hata ladha ya u skim hakuna. lazima huku kuna kamchezo kanafanywa
ni wewe sio sisi!!!