Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,899
- 858,788
- Thread starter
- #41
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Kabla hujaenda....huko ugawe mirathi kabisa....na wasome na hitima maana kurudi ni bahati nasibu.....
Wala si uchawi mkuu....bali ni mambo fulani ya mahaba....ambayo mtu hujawahi kukutana nayo.....
Hicho kitabu chao wanachochukulia huo ujuzi...kina kurasa takribani 30,000 na kila siku anatumia mstari mmoja wa mafundisho hayo....je mzee mwenzangu kuna kurudi hapo kweli.....labda mpaka amalize kurasa zote....