Nakuja huko nisalimie mikatabafeki @mamaafacebook na wengineAcha utani na Tanga Mshana.....
Ili ukutane na mikatabafeki lazima uende bombo.....Hapana siumwi
Basi siendi tena mimi na sindano ni lila na filaIli ukutane na mikatabafeki lazima uende bombo.....
Mweleze bwana, waja leo waondoka leo hatutaki utani😀😀
haaa!babu kumbe umeoa kwetu [emoji15] [emoji85] [emoji85]