BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 424
- 1,051
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Mohamedi Bakari Lukindo, mwenye umri miaka 43 kwa tuhuma za kumuua Athumani Dolly baada ya kumfumania na mke wake nyumbani kwake majira ya saa tisa usiku wa kuamkia leo, nyumbani kwake Mtaa wa Vunja Bei Wilayani Handeni.
Chanzo: Radio One
Chanzo: Radio One