Tanesco yailipa REX Attorneys zaidi ya bilioni 7... Wapi sheria ya manunuzi??

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Nimestushwa na malipo ya tanesco kwa kampuni ya kitapeli ya wanasheria hapa nchini zaidi ya bilioni saba kesi ya DOWANS kesi ambayo tulishindwa............wanadai ni za kukodisha ukumbi, kuwalipa wanasheria wa nje kazi ambazo Tanesco ingeliweza kuzifanya yenyewe moja kwa moja hebu jisomme hii makala Tanesco yalipa mabilioni kesi ya Dowans
 
Yaani haya mambo ya hawa viongozi wezi,majambazi ya CCM ukisoma kila siku unaishia kulia machozi,lini wananchi tuamua tuanze kuwapopotoa mawe hadi wafe
 
Ni vema sasa tukanyamaza.Hivi kinachoendelea hasa Tanzania ni nini?
Nimestushwa na malipo ya tanesco kwa kampuni ya kitapeli ya wanasheria hapa nchini zaidi ya bilioni saba kesi ya DOWANS kesi ambayo tulishindwa............wanadai ni za kukodisha ukumbi, kuwalipa wanasheria wa nje kazi ambazo Tanesco ingeliweza kuzifanya yenyewe moja kwa moja hebu jisomme hii makala Tanesco yalipa mabilioni kesi ya Dowans
 
Yaani hizi pesa zilizopitishwa na bunge juzi ndio wameaanza kuzichezea hivi!! ndio maana kuna mgao wa kimya kimya sasa nimeelewaaa..... SHAME ON YOU TANESCO!!!!!!!!!!!!! pesa mnapewa za matumizi mengine nyie mwazigeuzia matumizi mengine lol! kweli ukistaajabu ya...........
 
kwa kazi gani?

mwenye kampuni unakula maisha tu ubalozi kwenu NEW YORK ,
kweli aliyenacho hataongezewa GO kikwete go, lakini segerea inawasubiri #mubarak
 
Nimestushwa na malipo ya tanesco kwa kampuni ya kitapeli ya wanasheria hapa nchini zaidi ya bilioni saba kesi ya DOWANS kesi ambayo tulishindwa............wanadai ni za kukodisha ukumbi, kuwalipa wanasheria wa nje kazi ambazo Tanesco ingeliweza kuzifanya yenyewe moja kwa moja hebu jisomme hii makala Tanesco yalipa mabilioni kesi ya Dowans

sasa naona kampuni ya uwakili ya REX imeamua kuwatumia waingereza kuitafuna TANESCO, Kuna kampuni inaitwa MATRIX ya uingereza imelipwa
pesa chungu mzima kama sikosei pound laki 5 kusimamia kesi ya DOWANS. Ukumbi wa kempelski zaidi ya milioni 100 kukodi kwa siku kadhaa yaani ni wizi wa wazi kabisa, Tanesco imeguka kuwa shamba la Bibi kila mwenye mkono anakwapua inasikitisha sana.
 
kwa weli hii serikali ya awamu ya nne imetugharimu sana watanzania.

kuna wakati chadema walikuwa wanaandamana kupinga malipo ya dowans.

haya sasa ndiyo mambo ya kuandamana!
 
Kama walipewa kazi ki halali na wana mikataba ki halali, kwanini wasilipwe? unless kuwa zinalipwa fedha hewa. Kushinda au kshindwa kwa kesi hakumaanishi mawakili wasilipwe.

Ikiwa unamdhulumu mtu halafu unamuwekea wakili na wakili pengine kisha kuambia toka mwanzo, kuwa hii kesi hatushindi, wewe unamwambia nenda tu kajaribu, akishindwa, usimlipe?
 
Not surprising kwani pesa wanazotumia wizara, ofisi ya raisi, idara za serikali si zinatumika kama funds za familia zao. Hivi sisi watanzania tunafikiri ccm na kiongozi wao ni binadamu hao kama sio wadudu ni nini ...

This proved long time ago a scheme to milk our government (wananchi wa Tanzania) and its done deal. The question is respond from us continue to be naive and predictable!

The issue here is why Tanesco is in this situation in the first place? Aliweka wananchi katika haya mazingira ya madeni makubwa ni nani? Ukiuliza majority ya wananchi Tanzania and abroad watakueleza wazi we believe downs deals was illigal, who really signed the deal (we want to see the whole proof of evidences from the beginning). Hakuna ukweli wowote ule kwamba hii kampuni ya dowans waliingia Tanzania kwa good faith, nani ali-push hili kwa Tanesco na kulazimisha kusaini huu mkataba wakati si muda mrefu tulifukuza Richmond? Kwanini Richmond nao hawakwenda ICC? Kwanini hii mikataba ya kihuni haifanyiki kati ya vinyago mtwara na makampuni US na UK? Ni wazi Tanesco na sehemu nyingi za inchi yetu kumeonekana kuna fedha nyingi za kuiba thats why tunaona ccm wana-push wizi kila leo and this isn't the last one tusubiri....

Hawa ma-lawyers nao ni wezi kama wadudu mchwa wanaweka mbele deals za wizi kabla ya utaifa. Its the same thing watanzania kama hawa ndio moja kwa moja tunawaita 'entourage of ccm' they will do anything to live like Tanzanians millioners without a shame!
 
Hivi Mkurugenzi Mkuu TANESCO anayo elimu ya darasa la ngapi???

Nimestushwa na malipo ya tanesco kwa kampuni ya kitapeli ya wanasheria hapa nchini zaidi ya bilioni saba kesi ya DOWANS kesi ambayo tulishindwa............wanadai ni za kukodisha ukumbi, kuwalipa wanasheria wa nje kazi ambazo Tanesco ingeliweza kuzifanya yenyewe moja kwa moja hebu jisomme hii makala Tanesco yalipa mabilioni kesi ya Dowans
 
Kuna kuibiwa "kisheria"? Ukiweka mkataba ni haki ulipwe hata kama mkataba wenyewe ni wa kuwaibia wananchi?

Waliozoea kula hii nchi hawaelewi kwanini wananchi wachukizwe wanapoendelea kula. Si wanakula kwa mkataba?

Zamani nchi ilikuwa inaliwa kimya kimya, ila sasa kila wakitafuna kuna mtu anaona. Na wote tunapata habari. Hii inasaidia. Yaani tunapolizwa angalau tunajua kinachoendelea. Asante JF.

Kuna anayeuliza Mkurugenzi wa Tanesco ana elimu kiasi gani. Usimwonee. Unadhani anaweza yeye kuidhinisha lundo kubwa hivyo la fedha?

Be that as it may, but it would be very naïve to expect change without changing the players first. Kuwaambia waliokuwa wanakuibia siku zote (kisheria) waache kufanya hivyo ni kama kumpigia mbuzi gitaa.

Mhhhh!...Na Dowans walilipa kiasi gani katika kugharamia ukodishwaji wa ukumbi? au wao waliosha mikono na kuwaachia gharama zote TANESCO?

Nimestushwa na malipo ya tanesco kwa kampuni ya kitapeli ya wanasheria hapa nchini zaidi ya bilioni saba kesi ya DOWANS kesi ambayo tulishindwa............wanadai ni za kukodisha ukumbi, kuwalipa wanasheria wa nje kazi ambazo Tanesco ingeliweza kuzifanya yenyewe moja kwa moja hebu jisomme hii makala Tanesco yalipa mabilioni kesi ya Dowans
 
kwa kazi gani?

mwenye kampuni unakula maisha tu ubalozi kwenu NEW YORK ,
kweli aliyenacho hataongezewa GO kikwete go, lakini segerea inawasubiri #mubarak

na mwenzake pia ni Mkono& Mkono advovates ambaye akishachota Mabilioni anakwenda na vimilioni na kutoa msaada jimboni kwakwe halafu tunashangilia kuwa huyu ndiye mbunge makini maana haongei Bungeni bali kuwa na vitendo kumbe vitendo vyenyewe ni kutugaiwa kiduchu cha fedha zetu anazotuibia, hivi tumelogwa??
 
Back
Top Bottom