[emoji38][emoji38] aiseeNyie hampo kwenye grid ya taifa aseee huku bado sie tuliopo kwenye siti za mbele za grid ya taifa
baba na mama yako waondoke, dada zako waondoke, kaka zako waondoke, shangazi zako waondoke, wajomba zako waondoke na wote wanaokuhusu abaki magufuliBora wangeondoka watu milioni 1 kuliko angeondoka Magufuli huyu atabaki kuwa shujaa na hilo limejiprove
hivi babe nijukwaa gani unakosekanaga weweTuendelee kuwasubiri
Ukitaka uishi kwa rahha mijini...achana na kulalamika achana wana siasa na ahadi zao.....Saa mbili hii umerudi karibia nchi nzima
Ifike mahari watanzania tuchukue maamuzi magumu kuhusu mambo yanavyoenderea
Hujuma za wanasiasa zinaathiri shughuli za wananchi moja kwa moja watoto wanakufa kwenye maikyubeta kwasababu ya ng'ombe mmoja mwenye majenereta yake au maslahi ya kisiasa kwenye umeme
Hili linchi linamuhitaji mtu katili na mkali kama baba yetu Magufuli
Bora wangeondoka watu milioni 1 kuliko angeondoka Magufuli huyu atabaki kuwa shujaa na hilo limejiprove