Mie nimeshindwa aisee nipo kwenye bar hapa naangalia mpiraTuendelee kuwasubiri
Huko bar upo au wanatumia generator?Mie nimeshindwa aisee nipo kwenye bar hapa naangalia mpira
Wanatumia generator dada yanguHuko bar upo au wanatumia generator?
Oukay,, wakati wa kurudi hutaogopa giza njiani?😃😃Wanatumia generator dada yangu
Nina tochi na pia ninamiliki pisto ndogo mtu akizingua namla kichwaOukay,, wakati wa kurudi hutaogopa giza njiani?😃😃
Kama hivyo sawaNina tochi na pia ninamiliki pisto ndogo mtu akizingua namla kichwa
January huyo au siyoHuku tayari aisee haya makenge yameshaurudisha.
Mleta maada ni rafiki wa Tanesco. Hakuna umeme mpaka sasa. Sema upo wapi watu wajue kweli umeme umerudiSaa mbili hii umerudi karibia nchi nzima
Ifike mahari watanzania tuchukue maamuzi magumu kuhusu mambo yanavyoenderea
Hujuma za wanasiasa zinaathiri shughuli za wananchi moja kwa moja watoto wanakufa kwenye maikyubeta kwasababu ya ng'ombe mmoja mwenye majenereta yake au maslahi ya kisiasa kwenye umeme
Hili linchi linamuhitaji mtu katili na mkali kama baba yetu Magufuli
Bora wangeondoka watu milioni 1 kuliko angeondoka Magufuli huyu atabaki kuwa shujaa na hilo limejiprove