TANESCO wamerudisha umeme saa mbili usiku

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Saa mbili hii umerudi karibia nchi nzima

Ifike mahari watanzania tuchukue maamuzi magumu kuhusu mambo yanavyoenderea

Hujuma za wanasiasa zinaathiri shughuli za wananchi moja kwa moja watoto wanakufa kwenye maikyubeta kwasababu ya ng'ombe mmoja mwenye majenereta yake au maslahi ya kisiasa kwenye umeme

Hili linchi linamuhitaji mtu katili na mkali kama baba yetu Magufuli

Bora wangeondoka watu milioni 1 kuliko angeondoka Magufuli huyu atabaki kuwa shujaa na hilo limejiprove
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom