Hiyo ni kodi ya majengo ambayo hukatwa kila mwezi automatically, zamani ilikuwa 1,000/= imepanda hadi 1,500/=Nimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
Sina utaalamu, lakini kuna ile kodi ya majengo, hukusanywa kupitia umeme kila mwezi, labda hukununua umeme mwezi uliopitaNimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
Kodi ya nyumba ya mwezi.Siku hizi wanakata Kila LukuNimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
Acha tuIla tunapigwa sana na hii nchi
majengo yapi jamani sijawahi kusikia, wezi wakubwaHiyo ni kodi ya majengo ambayo hukatwa kila mwezi automatically, zamani ilikuwa 1,000/= imepanda hadi 1,500/=
Kwa kodi ya jengo wamerahisisha mkuu ilikuwa haieleweki afali hata hivi.Ila tunapigwa sana na hii nchi
Hapo bado 3% ya REAAcha tu
Ilipitishwa Bungeni mkuu watu walipiga kelele hapa hawakusikia kitu...wapangaji wanalipia kodi ya majengo Nchi ngumu sana hii sijui huwa wanafikiri nini wao ni kuongeza gharama kwenye umeme na mafuta badala ya kutoa mlundikano wa kodi huko wanakera sana hawa jamaa...majengo yapi jamani sijawahi kusikia, wezi wakubwa
Kodi inafanya kazi ya kusafri tu nchi za nje kwa wajomba zake arabuni. Huyu hafai, bure kabisaIlipitishwa Bungeni mkuu watu walipiga kelele hapa hawakusikia kitu...wapangaji wanalipia kodi ya majengo Nchi ngumu sana hii sijui huwa wanafikiri nini wao ni kuongeza gharama kwenye umeme na mafuta badala ya kutoa mlundikano wa kodi huko wanakera sana hawa jamaa...
Na 1% ya EwuraHapo bado 3% ya REA
Ubaya hapa mita zote zinachinjwa hiyo hela wakati nyumba nyingine zina mita kadhaaKwa kodi ya jengo wamerahisisha mkuu ilikuwa haieleweki afali hata hivi.
Wengine tunaomba hata ya ARDHI wafanye hivi tukilipa maji iwemo ndani
Shida kwa wasio na nyumba wanaumizwaKwa kodi ya jengo wamerahisisha mkuu ilikuwa haieleweki afali hata hivi.
Wengine tunaomba hata ya ARDHI wafanye hivi tukilipa maji iwemo ndani
Mimi nadhani pia washauri wake walio Wizara ya fedha pia ambao amewakumbatia hao ndio tatizo kubwa la kodi zenye kero Nchi hii...Kodi inafanya kazi ya kusafri tu nchi za nje kwa wajomba zake arabuni. Huyu hafai, bure kabisa