TANESCO: Nimenunua Luku mkanikata sh. 1,500 as DEBT COLLECTED , inatoka wapi na sijawahi kopa toka kwenu??

Nimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi?
Please clarify!
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Sasa huyo mpangaji ananunua umeme kwa kutumia namba ya mita, sasa tanesco watajuaje kwamba anayenunua siyo mwenye nyumba?
Wala sio lazima wajue wewe unayejua hayo na unajua kwamba ni issue ya mwenye nyumba kulipa basi akikupangia kodi ya mwaka wewe punguza hio 18k lakini usishangae kodi ikaongezeka kwa hio hio 18k anyway ndio hivyo law of the Fishes..., Matsya Nyaya
 
Hivi suluhisho la hili deni kukatwa kwa mwenye nyumba pasi kumkata mpangaji ilishindikana kabisa?
Ni upigaji wa serikali huu. Yaani unaibiwa kwa lazima, na hawasemi kitu...watz tulivyo mipole tunaandamana moyoni tu!
 
Back
Top Bottom