Nyanswe Nsame
Senior Member
- Jul 9, 2019
- 158
- 175
Kwakweki tanesco wanaboa kioa siku jioni wanakata umeme
Tanesco wana boa sana sio uko tu hata sisi uku Dodoma ikifika mida ya saa kumi jioni hasa muda wa kutazama mpira huwa wanakata,
Najiuliza kwa hii kata kata ya umeme kweli tutafika kwenye uchumi wa viwanda.
Big up kwa kuliongelea japo si wewe tu!Meneja Tanesco Mwanza amewafanya watu wa Mwanza kama ni vilaza
Meneja wa Tanesco Mkoa wa Mwanza, acha mambo yako, hii ni wiki ya pili sasa kila ilifika saa moja jioni umeme unakatika.
Tatizo hili sasa limekuwa ni "sugu" kwa muda wa wiki mbili na pindi mnapokata umeme taarifa rasmi haitolewi.
Idara ya Mawasiliano na uhusiano inafanya kazi gani? Kwanini hawatoi taarifa? au kazi yao ni ipi hapo ofisini?
Najiuliza kwanini umeme unakatika muda huu wa saa moja kila siku? kama ni matengenezo yanafanyika taarifa ni muhimu kwetu sisi ambao muda huu tunategemea umeme kufanya shughuli zetu.
Lakini kuna taarifa zinaeleza kwamba meneja huyu kaja na mpango wake wakutaka kumfelisha Rais wetu (John Magufuli) katika mkoa huu.
Hivyo kutokana na hali hii, vyombo husika angalieni huyu mtu na watu wake waliomzunguka asije akafanya mambo mabaya zaidi ya hili analojaribu kulufanya.
Charles Charles
Kuna watu hapo watakuwa wananhujumu! Huyo Jamaa yupo vzr mno! Kunawatu hapo walikuwa wapigaji sana naona kawadhibiti wanataka kumharibia harafu wao ndo wanakimbilia mitandaoni!. Huyo Jamaa namjua tangia akiwa Ruvuma.Meneja Tanesco Mwanza amewafanya watu wa Mwanza kama ni vilaza
Meneja wa Tanesco Mkoa wa Mwanza, acha mambo yako, hii ni wiki ya pili sasa kila ilifika saa moja jioni umeme unakatika.
Tatizo hili sasa limekuwa ni "sugu" kwa muda wa wiki mbili na pindi mnapokata umeme taarifa rasmi haitolewi.
Idara ya Mawasiliano na uhusiano inafanya kazi gani? Kwanini hawatoi taarifa? au kazi yao ni ipi hapo ofisini?
Najiuliza kwanini umeme unakatika muda huu wa saa moja kila siku? kama ni matengenezo yanafanyika taarifa ni muhimu kwetu sisi ambao muda huu tunategemea umeme kufanya shughuli zetu.
Lakini kuna taarifa zinaeleza kwamba meneja huyu kaja na mpango wake wakutaka kumfelisha Rais wetu (John Magufuli) katika mkoa huu.
Hivyo kutokana na hali hii, vyombo husika angalieni huyu mtu na watu wake waliomzunguka asije akafanya mambo mabaya zaidi ya hili analojaribu kulufanya.
Charles Charles
Big up kwa kuliongelea japo si wewe tu!
Kwa kweli nikikumbuka mgao wa kipindi kile na tambo za awamu hii, nahisi mambo ni magumu ila ndo hivyo watu hawataki kuukubali ukweli hali si hali kila sehemu.
Wiki ya pili sasa mchezo huu unaelekea kuota mizizi cha ajabu wahusika hawatoi taarifa angalau kuondoa hiyo sintofamu kwa wananchi.
Bora Singa singa SETH atolewe ndani aje awashe mitambo yake tujue tupo kwenye mgao!
Kifupi nikwamba Tanesco MWANZA iliharibika, kunawatu wamekaa hapo miaka nenda rudi kiasi cha kujiona wao ndo MWANZA
Hata mama alitolewa Kwa kigezo kuwa mkoa umemshinda lkn kiukweli alikuwa anahujumiwa ila hakuwa Na uwezo wakubana watu wake.
Huyu bwana namjua tangia akiwa Ruvuma kwenye Umeme wa mtoni huko Mbinga! Huyo Jamaa yupo vizuri ktk Kazi nanimfuatiriaji mzuri ktk Kazi zawatu wa chini yke.
Nahisi atakuwa amewabana kisawasawa Sasa wanataka kumchafua
Eti kumharibia magufuri MWANZA kwani wanataka uraisi?
Ana ndg yke anagombea uraisi?
Naona mmeanza majungu ili awaogope! Maneger chapa Kazi! Tunawajua wte hao walionyuma yko kutaka uharibikiwe Kazi.
Nitamwandikia mwinuka nimwekeze kila kitu! Chunga sana sukumaland hapo Mkuu.

Au swala la kuwa kaletwa kumhujum magufuri limetoka wapiSasa yy anakata ili iweje!