Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,268
- 5,815
Huko Mwanza ndiko wamejitanabahisha kuwa ni kipenzi Cha Rais wa wanyonge kwamba ndio waliompa kura nyingiNa huku Mbeya wanamsaliti nani, make nako ni hivyo hivyo, kila siku kuanzia saa moja hakuna umeme, hata sasa maeneo yote ya nane nane, ilomba n.k hakuna umeme na ni wiki sasa inakuwa hivyo kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app