Viwanda vya kutazama Mpira??Tanesco wana boa sana sio uko tu hata sisi uku Dodoma ikifika mida ya saa kumi jioni hasa muda wa kutazama mpira huwa wanakata,
Najiuliza kwa hii kata kata ya umeme kweli tutafika kwenye uchumi wa viwanda.
Meneja wa Tanesco Mkoa wa Mwanza, acha mambo yako, hii ni wiki ya pili sasa kila ilifika saa moja jioni umeme unakatika.
Tatizo hili sasa limekuwa ni "sugu" kwa muda wa wiki mbili na pindi mnapokata umeme taarifa rasmi haitolewi.
Idara ya Mawasiliano na uhusiano inafanya kazi gani? Kwanini hawatoi taarifa? au kazi yao ni ipi hapo ofisini?
Najiuliza kwanini umeme unakatika muda huu wa saa moja kila siku? kama ni matengenezo yanafanyika taarifa ni muhimu kwetu sisi ambao muda huu tunategemea umeme kufanya shughuli zetu.
Lakini kuna taarifa zinaeleza kwamba meneja huyu kaja na mpango wake wakutaka kumfelisha Rais wetu (John Magufuli) katika mkoa huu.
Hivyo kutokana na hali hii, vyombo husika angalieni huyu mtu na watu wake waliomzunguka asije akafanya mambo mabaya zaidi ya hili analojaribu kulufanya.
Charles Charles
Yes ni kote, Tanesco wanashida
Nunua Solar au unganisha nyumba yako na generator la mnara
Siyo majungu ni wangese sana Tanesco wanafanya mambo kimazoea sana hapa Mwanza na kitengo chao cha mawasiliano hapa wamejazana wa kanda ya kilalacha ni shida wanaona ofisi za babu zaoUzi umekaa kimajungu majungu, nahisi kuna shida mahali.
Huo mpango wa meneja kumfelisha JPM umeusikia wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi ni too muchMpaka sasa hivi national na maeneo mengi hamna umeme na kuanzia juzi nalala giza
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa kulala gizanMpaka sasa hivi national na maeneo mengi hamna umeme na kuanzia juzi nalala giza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna tatizo la umeme?Yawezekana tatizo la umeme likawa la nchi nzima nini![]()

Meneja wa Tanesco Mkoa wa Mwanza, acha mambo yako, hii ni wiki ya pili sasa kila ilifika saa moja jioni umeme unakatika.
Tatizo hili sasa limekuwa ni "sugu" kwa muda wa wiki mbili na pindi mnapokata umeme taarifa rasmi haitolewi.
Idara ya Mawasiliano na uhusiano inafanya kazi gani? Kwanini hawatoi taarifa? au kazi yao ni ipi hapo ofisini?
Najiuliza kwanini umeme unakatika muda huu wa saa moja kila siku? kama ni matengenezo yanafanyika taarifa ni muhimu kwetu sisi ambao muda huu tunategemea umeme kufanya shughuli zetu.
Lakini kuna taarifa zinaeleza kwamba meneja huyu kaja na mpango wake wakutaka kumfelisha Rais wetu (John Magufuli) katika mkoa huu.
Hivyo kutokana na hali hii, vyombo husika angalieni huyu mtu na watu wake waliomzunguka asije akafanya mambo mabaya zaidi ya hili analojaribu kulufanya.
Charles Charles
Nasikia huko Mwanza, TANESCO imemsaliti Rais wa wanyonge, kwamba kila ifikapo jioni umeme hugeuka kuwa giza totoro! CCM ni kichaka Cha uhalifu