Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,609 Reaction score 59,655 May 18, 2025 #1 Habarini za sahizi watu wa humu jukwaani. Mimi nina kero na TANESCO. TANESCO msiwe mnakata umeme huku kuna watu wengine ni machizi radio vichwa vyao vimejaa stress. Umeme ukikata radio haziongei kwa hio wanaanza kuongea wao wenyewe bila kuongeleshwa na mtu. Kwa hio jitahidini umeme msiwe mnakata.
Habarini za sahizi watu wa humu jukwaani. Mimi nina kero na TANESCO. TANESCO msiwe mnakata umeme huku kuna watu wengine ni machizi radio vichwa vyao vimejaa stress. Umeme ukikata radio haziongei kwa hio wanaanza kuongea wao wenyewe bila kuongeleshwa na mtu. Kwa hio jitahidini umeme msiwe mnakata.
kipanga85 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2024 Posts 2,678 Reaction score 7,281 May 18, 2025 #2 wanalijua hilo, hapo unampigia mbuzi gitaa
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,609 Reaction score 59,655 May 18, 2025 Thread starter #3 kipanga85 said: wanalijua hilo, hapo unampigia mbuzi gitaa Click to expand... Gita lipi?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,930 May 18, 2025 #4 Poleni sana... Cc: Mahondaw