TANESCO Karatu, Arusha kukata umeme kila ifikapo saa moja jioni tatizo nini?

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
6,560
8,425
Habari za leo waungwana

Binafsi ninachoshwa sana na hii tabia ya Tanesco hapa Karatu,mitaa fulani inaitwa Njia ya ng'ombe kuelekea bashe,imekua ni tabia ya kila ifikapo saa moja ya jioni hawa watu wanakata umeme,na si hivyo tu. Mala nyingi katika kila jumapili umeme hukatwa kutwa nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni

Katika miezi michache iliyopita kama miwili hivi,umeme katika mitaa hii uliwahi kukata wiki nzima.

Sasa najiuliza ni kipi kinacho wasumbua ilihali shirika linafanya biashara wanapata pesa, kama ni ubovu wa mitambo ni nini kinawazuia kurekebisha mpaka kuwe na kero kiasi hiki ya kukosa huduma,watumishi gani hawa mchana kote umeme unawaka na ikifika muda ambao watu tunahitaji umeme nyakati yenye giza ninyi mnakata umeme,kweni mnatupa huduma bure?

Sidhani jambo hili kama ni ubovu wa vifaa au la,maana kama ni ubovu pesa hua mnapeleka wapi iwapo hamrekebishi matatizo kila siku.

Naishia kuandika hapa jf kwa sababu tu sina mamlaka mi ni Raia,ningekua ni mwenye mamlaka hakika mngekoma.
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi

Tafadhali onyesha namba ya simu
 
Wanafanya replacement ya nguzo zote zilizoliwa na mchwa katika umeme wagrid, ni karatu, mbulu, nadhani na hanang
 
Hili shirika lina matatizo sana aisee halafu ukiwataarifu wanaringa kama pisi Kali yaani utakuta labda transformer lao limeharibika kuja kwa wakati hawawezi yaani ni kero sana dadeq!
 
Ahsante je unatatizo gani tukuhudmie tafadhali
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi

Tafadhali onyesha namba ya simu
.pia tanesco Moshi kuna vishoka wanakula hela za wateja hapo nje wana office opposite na jengo la tanesco...wanachukua 140,000/ Kwa wateja alafu wanawaambia wanawapelekea surveyor..alafu wanapotea....alafu wanadai wateja rushwa ya lazima wakiwadanhanya kuwawekea umeme mapema....naomba mwende tanesco Moshi..kuna list ndefu ya wateja wanasubir umeme wa rea...na wengi wameliwa hela Kwa namna moja ama nyingine...ndugu yangu ni muhanga wa mtu anayejiita tarimo...anasema ni fundi wa tanesco...naombeni mfatilieni...
 
Tunashukuru kwa taarifa tumeendelea kuwanasa na wengine wapo na kesi xa kujibu

Tunaendelea kuwasihi wateja wetu kutumia njia sahihi kupaya huduma
 
Jengeni utaratibu wa kufuatilia Kero za wateja bila kuwa expose.unapotaka Mtoa taarifa akupe namba ya simu au akueleze anapokaa kwa mtindo huu mtashindwa kuwasaidia wateja wenu.
 
Tafadhali tambua kuwa hii ni huduma inayomuhusu mtu binafsi au taasisi hivyo unapoamua kuja jamii forum maana yake upo tayari kutoa ushirikiano hata kwa inbox lakini ukilalamika bila taarifa tutakuhudumiajie? Je unaweza kulalamikia account yako ya bank bila account namba? Huduma bora inaanza na taarifa kamili
 
Habari za leo waungwana

Binafsi ninachoshwa sana na hii tabia ya Tanesco hapa Karatu,mitaa fulani inaitwa Njia ya ng'ombe kuelekea bashe,imekua ni tabia ya kila ifikapo saa moja ya jioni hawa watu wanakata umeme,na si hivyo tu. Mala nyingi katika kila jumapili umeme hukatwa kutwa nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni

Katika miezi michache iliyopita kama miwili hivi,umeme katika mitaa hii uliwahi kukata wiki nzima.

Sasa najiuliza ni kipi kinacho wasumbua ilihali shirika linafanya biashara wanapata pesa, kama ni ubovu wa mitambo ni nini kinawazuia kurekebisha mpaka kuwe na kero kiasi hiki ya kukosa huduma,watumishi gani hawa mchana kote umeme unawaka na ikifika muda ambao watu tunahitaji umeme nyakati yenye giza ninyi mnakata umeme,kweni mnatupa huduma bure?

Sidhani jambo hili kama ni ubovu wa vifaa au la,maana kama ni ubovu pesa hua mnapeleka wapi iwapo hamrekebishi matatizo kila siku.

Naishia kuandika hapa jf kwa sababu tu sina mamlaka mi ni Raia,ningekua ni mwenye mamlaka hakika mngekoma.
Sometimes kuna wanaohujumu makusudi ili kufanikisha jambo lao mahali fulani , kwa mfano ili kupitisha magendo mahali bila kuonekana ni lazima umeme ukatwe .
 
Tafadhali tambua kuwa hii ni huduma inayomuhusu mtu binafsi au taasisi hivyo unapoamua kuja jamii forum maana yake upo tayari kutoa ushirikiano hata kwa inbox lakini ukilalamika bila taarifa tutakuhudumiajie? Je unaweza kulalamikia account yako ya bank bila account namba? Huduma bora inaanza na taarifa kamili
Unayosema ni sawa kabisa.changamoto iliyopo ni sisi tunaowasemea wafanyakazi wenu pindi mnapowasilana nao wakija site inakuwa ni kama ugomvi na kuwekeana bifu zisizo na msingi.sijui mtafanyaje kuhusu hili.
 
Unachopaswa ni kujurulisha gari namba ngapi na siku gani walikuja ili kuchukua hatua stahiki kwa kazi zote zinazotolewa taarifa zinapaswa kufanyiwa kazi na ofisi husika
 
Sometimes kuna wanaohujumu makusudi ili kufanikisha jambo lao mahali fulani , kwa mfano ili kupitisha magendo mahali bila kuonekana ni lazima umeme ukatwe .
Je unaushahidi wa hili? Tafadhali isaidie Serikali kwa kutoa taarifa unapopaamini mfano hapa, uongozi wa TANESCO au TAKUKURU ili kuondoa dhana hiyo
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi

Tafadhali onyesha namba ya simu
kitongoji cha nyamanche na nyamichale , kijiji cha nyakunguru ni lini mtatuwekea umeme, maana kijiji kizima ni centre ya kijiji tu ndo kuna umeme
Shida ni nini
NB umeme umepita nyamanche kwenda itandola
 
Je ni wilaya gani? Namba yako ya simu tafadhali
 
Back
Top Bottom