TANESCO Mbezi Beach wazembe, meneja wilaya mzembe

Asante kwa kuahidi mtafuatilia, naomba muangalie kama malalamiko yangu yapo kwenye file, ni mda mrefu nikisubiri mpaka ikaanguka
 
Majibu ya TANESCO yanatia matumaini utekelezaji sasa mmh

Ila sasa nawakubari kitu kimoja mkoa wa kinondoni mpo vizuri umeme ukikatika ile shoti nyumba hii inawaka nyingne haiwaki zote mtaa 1 haaa nikiwapigiaga faster mnatimba hatulalagi giza
Ongeleni kwa hilo hasa kuna kuna dada mmoja akipokea ana majibu mazuri sana

Ila kuna lidada limoja sijui linakuwa linalala usiku yaani kwanza simu itaita wee na akipokea mkatomkato majibu yake

Ila ongereni mmejirekebisha pakubwa changamoto ni chache naimani mtabadirika zaidi tunawapa muda wafanyakazi vimeo muwapige chini ili kuliletea HESHIMA shirika
 
Ni Kinondoni ipi?Je ulipiga simu tarehe ngapi na muda gani tufatilie
 
Hivi wakija kuunganisha umeme ngazi ya kupandia juu ni ya mteja au tanesco? Ilibidi nitafute jirani
 
Back
Top Bottom