MENISON
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 726
- 622
Habarini wakuu?
Hivi hawa Tanesco pale wilaya ya Mbezi Beach wanataka tuwafanyeje?
Yaani mtu anaunganishiwa umeme anapewa unit 10. zikikata inapita zaidi week nzima unaenda kwa Vendor kununua umeme unaambiwa Luku yako haijwa activated. Ukienda pale na meter yako utasikia baada ya masaa 2 kanunue, yakipita holla. Yaani kila siku ni wimbo ule ule, yaani kuactivate meter imekuwa ishu mtu anafuatilia utadhani ni mafao.Hata manager wao atakuwa mzembe.
Nasafiri, nikirudi Jumatatu naenda ofisini kwao kwa mara ya nne, kale kadada keupe ndio jeuri zaidi.
Hawa watu ni wavivu sana, tunakula sikukuu na giza kwenye hizi nyumba mpya za kudunduliza.
Lazima niondoke na mtu