TANESCO Mbezi Beach wazembe, meneja wilaya mzembe

TANESCO Mbezi Beach wazembe, meneja wilaya mzembe

Alaaa. kumbe mpo! mbona mpaka watu walalamike humu ndio mnajitokeza?
Tanesco Head quarter wapo vizuri sana, na hata kitengo cha mawasiliano ukipiga simu wana msaada sana. Ila shida ipo kwenye hivi vibranch sijui wilaya ya kitanesco uzushi mtupu wababaishaji.
 
Tanesco Head quarter wapo vizuri sana, na hata kitengo cha mawasiliano ukipiga simu wana msaada sana. Ila shida ipo kwenye hivi vibranch sijui wilaya ya kitanesco uzushi mtupu wababaishaji.
Tumepokea maoni yenu tumeshaanza kuyafanyia kazi kuhakikisha wateja wetu wanafurahia huduma zetu Nchi nzima
 
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Namba ya mita

Toka lini

Kwa hatua zaidi
Msaada wa kuactivate meter inawezekana hata sikukuu? Wameniambia siku za sikukuu na weekend hawafanyi kazi,
Ngoja jumatatu ikifika ntaenda tena huko Mbezi beach kwa wale wasumbufu nawatamani sana. Ntakachokifanya huko kama wapo hapa waandae police wanipeleke ndani kabisa.
Ila ntatoka na mtu.
 
Inawezekana ndugu mteja, tupatie namba ya mita, jina kamili, eneo, wilaya na mkoa wako bila kusaau namba ya simu

TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.tz
 
Msaada wa kuactivate meter inawezekana hata sikukuu? Wameniambia siku za sikukuu na weekend hawafanyi kazi,
Ngoja jumatatu ikifika ntaenda tena huko Mbezi beach kwa wale wasumbufu nawatamani sana. Ntakachokifanya huko kama wapo hapa waandae police wanipeleke ndani kabisa.
Ila ntatoka na mtu.
Tusaidie taarifa zako hata inbox tuhakikishe unafikiwa
 
Mie nipeni umeme nifungue kiwanda changu jamani nina mwaka na nusu sasa mpaka mashine inaharibika dah
Tanesco kisalawe
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini

Kwa hatua zaidi
 
Karibu sana
Wapigieni simu hao Tanesco Mbezi beach waache uzembe au Manager wake atakua mzembe labda. Manager akiwa mzembe na wafanyakazi wanalala.
Wanazingua sana hao jamaa.
 
Wapigieni simu hao Tanesco Mbezi beach waache uzembe au Manager wake atakua mzembe labda. Manager akiwa mzembe na wafanyakazi wanalala.
Wanazingua sana hao jamaa.
Tulikuomba taarifa kamili bila ushirikiano sasa tukipiga tunafatilia taarifa ipi mkuu wetu?
 
Habarini wakuu?
Hivi hawa Tanesco pale wilaya ya Mbezi Beach wanataka tuwafanyeje?
Yaani mtu anaunganishiwa umeme anapewa unit 10. Zikikata inapita zaidi week nzima unaenda kwa Vendor kununua umeme inaambiwa Luku yako haijwa activated. Ikienda pale na meter yako utasikia baada ya masaa 2 kanunue, yakipita holla. Yaani kila siku ni wimbo ule ule, yaani kuactivate meter imekua inshu mtu anafuatilia utadhani ni mafao.
Hata manager wao atakua mzembe, nasafiri nikirudi jumatatu naenda ofisini kwao kwa mara ya nne, kale kadada keupe ndio jeuri zaidi. Hawa watu ni wavivu sana, tunakula sikukuu na giza kwenye hizi nyumba mpya za kudunduliza.
Lazima niondoke na mtu
Mkuu pole sana,
Binafsi nawapongeza Tanesco Gongolamboto, nilikatikiwa umeme tarehe 24 usiku, Tarehe 25 saa 4 asubuhi nilienda kuripoti pale ofisini kwao mzambarauni, ilipofika saa 8 mchana walikuja kunirekebishia vyuma vilivyopata kutu kati ta nguzo na waya unaoingia ndani.
 
Mameneja wa Tanesco tanzania ambao ni jembe ni meneja wa tanesco Wilaya ya kahama,meneja wa tanesco Wilaya ya misungwi na meneja wa tanesco mkoa wa Geita,singida na dodoma. Wanastahili pongezi na ni wachapakazi.
Meneja wa tanesco wilaya za simanjiro,ukerewe, Meru, kilosa, Rombo ni mzigo kwa serikali ya Tanzania.
Tafadhali onyesha tatizo ni nini haswa na namba yako ya simu
 
Tatizo hawajali wateja, hawatafuti wala hawana haha na wateja wapya,kufungiwa umeme ni miezi .kufanyika survey Hadi utoke pesa, line nyingi za umeme zimelala chini hawajali umeme unaua, wanashinda maofisini haendi field, ni wanadaiwa sio watendaji na hawaendi na Kadi ya waziri husika wala sera za awamu ya tano. Namba ya simu 0754562366
Mimi nililipia ile 320000/= ya kuwekewa umeme bila nguzo. Aisee nilikaa miezi minne hawaji , nikienda wanasema upo kwenye schedule. Kumbuka hapo hamna nguzo wala nini, miezi minne. Nikasema bora nisingelipia kabisa, ni kweli hadi utoe pesa. Nilitoa pesa kama 50K nikampa yule dada mweupe , kesho tu nikawekewa umeme. Mimi kwa sasa kila ninapoenda ofisi ya umma naenda na hela kidogo ya rushwa ili nihudumiwe haraka.
Nikienda NIDA , Tanesco,Polisi, Mahakamani, Dawasco nk naenda na karushwa ili huduma iende haraka.
Aisee hao TANESCO Mbezi beach walaaniwe kabisa.
 
Haipokelewi tafadhali
 
Tunataka hatua zichukuliwe tusaidie namba yako tafadhali
 
Hivi kwa nini Tanesco wameshindwa kabisa kutatua tatizo la umeme mdogo(Low Voltage) kwenye maeneo mengi hasa Dar es Salaam? Wakati mwingine hasa jioni voltage huwa ina drop sana hadi kufikia voltage160 na mchana huwa haipandi zaidi ya voltage 202 badala ya voltage 220 hadi 240 inayotakiwa matokeo yake bili inaongezeka kwa wateja kwa kulipia umeme unaopotea(reactive power) kutokana na low voltage.
 
Back
Top Bottom