CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,958
- 9,518
The Tata Power Company Limited is an Indian electric utility company based in Mumbai, Maharashtra, India and is part of the Tata Group.[5][6] The core business of the company is to generate, transmit and distribute electricity.[7] With an installed electricity generation capacity of 10,577MW, it is India's largest integrated power company.[8][9][10][11][12] Tata Power has been ranked 3rd in 2017 Responsible Business Rankings [1]developed by IIM Udaipur. In February 2017, Tata Power became the first Indian company to ship over 1 GW solar modules.[13Acha kamba, Biggest electricity companies in India. NTPC Limited(formerly National Thermal Power Corporation) is the largest Indian state-owned electric utilities company based in New Delh. Nayo ni state owned.
Sawa. Lakini je, si kweli TATA nao wanafanya utoaji wa huduma za umeme?Acha kamba, Biggest electricity companies in India. NTPC Limited(formerly National Thermal Power Corporation) is the largest Indian state-owned electric utilities company based in New Delh. Nayo ni state owned.
Hili ndilo tatizo,. Sasa kwanini tung'ang'ane na kutaka kuzalisha umeme nchi nzima wakati hatuwezi??Naandika hii kwa mara ya mwisho naona umeamua kuamisha magoli na kutoka kwenye swali lenyewe. Swali kuu hapa ni nchi kuwa na kampuni binafsi zenye ushindani wa bila kutegemeana wa kuzalisha umeme mkubwa na kuuza independently na mteja kuwa huru kuchagua. Hili ndo swali la msingi la mleta uzi
Katika quotes zote ulizoleta umeshindwa kuthibitisha hili. Nchi zote ulizotaja, mosi, wanatumia mfumo mmoja wa usambazaji moja, pili wanauza umeme kwa maeneo husika (respective service area), kwa maana nyingine kampuni hizo ndogo ambazo ni privately owned zinazalisha umeme mdogo wa kuuza eneo dogo ambalo amepewa na serikali na mteja wa eneo hilo hana namna nyingine zaidi ya kutumuia umeme wa muuzaji wa hapo.
Na kama kampuni zote zinatumia mfumo mmoja wa usambazaji basi hazipo independent katika usambaji wake hivyo hitilafu ikitokea haijalishi umeme unatoka kwa nani wote mtakosa.
Privately owned kampuni zipo nyingi, hata bongo kampuni za kuzalisha umeme za solar zipo kibao ila sio za kiwango cha kuzalisha umeme wa kuendesha nchi nzima zenyewe na zote huwa zinazalisha kisha kuingiza umeme kwenye grid ya taifa.
Vivyo hivyo kwenye maji, unaweza kuwa na kisima chako au kijiji kikawa na kisima chake ila haliwezi kuja kampuni kuanzisha vyanzo vyake na kujenga mabomba yake tofauti na system iliyopo kwenye nchi husika. Wanachoweza kufanya ni kujenga vyanzo na kuingiza maji kwenye mkondo wa taifa, au kusambaza kwenye eneo lao walilopewa dhamana.
Baada ya kusema hayo, nimemaliza.
Mkuu, I'm all for decentralization, iwe government au kwenye mambo ya umeme. Itakua vizuri sanaSawa. Lakini je, si kweli TATA nao wanafanya utoaji wa huduma za umeme?
Unajua utoaji mbovu wa huduma za kijamii na utendaji mbovu wa serikali hautoisha kama mfumo wa utoaji huduma bado ni wa kizamani, na unaotegemea zaidi serikali. Nchi hii ni kubwa mno kuwa na kampuni moja inayozalisha, inayosambaza na inayogawa umeme.
Yaani kama ilivyo kwa kuwa na centralised government (huu mfumo CCM ime cling to it ili waendelee kupiga deals), mfumo wetu wa utoaji huduma ya umeme upo hivi ulivyo ili tatizo la umeme liendelee kuwepo, na watu wapige deals na kufanya biashara ya generators.
Vizuri. Ila chini ya CCM, hilo haliwezi kutokea. Serikali za CCM zinalea inefficiencies ili watu wapige deals. Maana katika akili ya kawaida tu, hivi pamoja na potential za uzalishaji wa umeme wa uhakika kuwepo (maji, jua, upepo, joto la bahari n.k.), miaka 50 tushindwe kuwa na utoaji huduma hata kwa 50% ya population tu?Mkuu, I'm all for decentralization, iwe government au kwenye mambo ya umeme. Itakua vizuri sana
Hapo sina la kukujibu Chief.Vizuri. Ila chini ya CCM, hilo haliwezi kutokea. Serikali za CCM zinalea inefficiencies ili watu wapige deals. Maana katika akili ya kawaida tu, hivi pamoja na potential za uzalishaji wa umeme wa uhakika kuwepo (maji, jua, upepo, joto la bahari n.k.), miaka 50 tushindwe kuwa na utoaji huduma hata kwa 50% ya population tu?
AmazingSoon, Africa’s Largest Utility Will Not Own Any Power Lines
https://www.linkedin.com/pulse/soon-africas-largest-utility-own-any-power-lines-alvaro-lara
Hyo Kampuni intoa huduma za PAYG ina angaza Africa na kifo cha TANESCO Pia nadhani ni Mwaka mmoja tuu kuanzia sasa...View attachment 742672View attachment 742673View attachment 742674View attachment 742675
Wewe utakuwa mfanyakazi wa tanesci ww unalinda kibarua chakoUnaona sasa mwisho wa siku ni yale Yale tu, Kama wanatumia same distribution tofauti yake Ni nini watu wenye kampuni Moja? Waya ukikata Ina maana hakuna umeme toka kampuni lolote
Ikumbukwe nchi zote zina mamlaka ya udhibiti wa nishati, hivyo chochote wanachofanya ni kwa matakwa ya serikali. Na most likely hayo makampuni ni branches tu za the main branch.
Kaka naona wewe ni mvivu wa kusaka taarifa, embu Google USA afu uje utuambie kama kuna shirika la umeme. Pale serikali inachombo cha kuratibu tu ubora wa makampuni tofauti tofauti yanayozalisha na kusambaza umeme.Ni nchi gani ambayo Ina makampuni independent ya umeme ambayo si mali ya serikali kwa namna moja au nyingine?
Biashara ya ufuaji umeme, popote duniani, ni huria ila sababu ya gharama kubwa za kuendesha inabaki kuwa a Monopoly market. Hata nchi zenye umeme wa uhakika sio kwamba zina ushindani bali wamewekeza heavily kwenye mashirikia yao.
Hakuna nchi hata moja, narudia, hata moja yenye ushindani kwenye mambo ya umeme Kama ilivyo kwenye masoko mengine.
So, TZ kama nchi zinginge, hakutakuwa na ushindani kwenye ufuaji na usambazaji umeme.
Soma post #45.Kaka naona wewe ni mvivu wa kusaka taarifa, embu Google USA afu uje utuambie kama kuna shirika la umeme. Pale serikali inachombo cha kuratibu tu ubora wa makampuni tofauti tofauti yanayozalisha na kusambaza umeme.
Asa mbona mwanzo#3 hukujibu kama #45. Maana ulitaka kuupotosha uma kuwa kila nchi kuna TANESCO. Ulisema hakuna serikali yenye independent power company.Soma post #45.
Nipo USA BTW.
Swali ni kwann hamna mshindani??Ni nchi gani ambayo Ina makampuni independent ya umeme ambayo si mali ya serikali kwa namna moja au nyingine?
Biashara ya ufuaji umeme, popote duniani, ni huria ila sababu ya gharama kubwa za kuendesha inabaki kuwa a Monopoly market. Hata nchi zenye umeme wa uhakika sio kwamba zina ushindani bali wamewekeza heavily kwenye mashirikia yao.
Hakuna nchi hata moja, narudia, hata moja yenye ushindani kwenye mambo ya umeme Kama ilivyo kwenye masoko mengine.
So, TZ kama nchi zinginge, hakutakuwa na ushindani kwenye ufuaji na usambazaji umeme.
Japan usa Germany tatizo CCM ni washamba kama kiongozi wao jiweNi nchi gani ambayo Ina makampuni independent ya umeme ambayo si mali ya serikali kwa namna moja au nyingine?
Biashara ya ufuaji umeme, popote duniani, ni huria ila sababu ya gharama kubwa za kuendesha inabaki kuwa a Monopoly market. Hata nchi zenye umeme wa uhakika sio kwamba zina ushindani bali wamewekeza heavily kwenye mashirikia yao.
Hakuna nchi hata moja, narudia, hata moja yenye ushindani kwenye mambo ya umeme Kama ilivyo kwenye masoko mengine.
So, TZ kama nchi zinginge, hakutakuwa na ushindani kwenye ufuaji na usambazaji umeme.
Hutaki elewa kilaza weweUnaona sasa mwisho wa siku ni yale Yale tu, Kama wanatumia same distribution tofauti yake Ni nini watu wenye kampuni Moja? Waya ukikata Ina maana hakuna umeme toka kampuni lolote
Ikumbukwe nchi zote zina mamlaka ya udhibiti wa nishati, hivyo chochote wanachofanya ni kwa matakwa ya serikali. Na most likely hayo makampuni ni branches tu za the main branch.
Tatizo hujawahi toka Tanzania Sasa unabisha nini kubali we ni mjinga utolewe ujingaVikampuni vya kuwasha nyuma mbili vya solar vipo kila kona, tunaongelea umeme large scale kama unaozalishwa na tanesco wa kuendesha nchi. Swali ni mbadala wa tanesco, ndo nasema hakuna nchi duniani ambayo umeme wake large scale unatoka from a privately owned company.
Unaongea na mtu aliye nje ya nchi for ages.Tatizo hujawahi toka Tanzania Sasa unabisha nini kubali we ni mjinga utolewe ujinga
Sijafika tu huko nimeishi kabisa, Kama hujui nini unaongea kaa kimya, story za hear say ziishie vijiweni.Japan usa Germany tatizo CCM ni washamba kama kiongozi wao jiwe
Wewe haupo usa ungekuwepo usingeandika ujinga eti duniani kote hakuna hizo company. Njia ya muongo ni fupiSoma post #45.
Nipo USA BTW.