nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,041
Nilichofanya ni kubadilisha setting ya data kutoka Voda kwend tigo na maisha yanaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuliza makalio soma ulichoandika tenaaSasa mbadala wa CCM unaouongelea ni hupi?
Mnowe?: sumu ailambwi ukitaka kugombea uenyekiti wa CHADEMA
Zitto?: huyu hata la kusema sijui nianzie wape?
Mbatia?
Lipumba?
Cheyo?
Hebu niambie mbadala wa CCM ni upi kwa mfano?
Hapo awali sikujua umuhimu wa baadhi ya options katika maisha. Kuna siku nilijiuliza kwa nini kuwe na vyama vingi wakati CCM ipo na wananchi hawajawa na utayari wa kuwa na vyama vingine kwa kigezo cha TUME YA NYARARI kipindi kile. Nyerere akalazimisha mfumo wa vyama vingi. Kumbe siku CCM ikibaki peke yake tutamis sana fujo za upinzani japo kwa sasa wengine wanaona kama upinzani sio wazalendo. Kuna umuhimu wa kuwa na option.
Hata kwa waislam nimeielewa salama ile option ya kuoa mke zaidi ya mmoja. Inasaidia sana wakati mwanamke akiwa na dharura huku mme akiwa anataka haki yake ya ndoa.
Hata kwenye mitandao ya simu. Leo VODACOM wamezingua kweli na internet yao. Mambo baadhi yakasimama huku wakituletea SMS zao za kuomba radhi. Kwa kuwa kuna option ya mitandao mingine stresses zimepungua kidogo.
What if there was no option today?
Natamani hata TANESCO wawe na mshidani kwa kweli

Ni hasara kwasababu vinakula ruzuku hela ya walipa Kodi wakati havina tija!Mtu ambae hataki vyama vya upinzani viwepo ni mwenye mtindio wa ubongo tu walio timamu wanajua umuhimu vya vyama hivyo.