TANESCO itafutiwe mshindani wa kibiashara?

TANESCO itafutiwe mshindani wa kibiashara?

embu kwanza maana nimerud leo nyumban naskia kumenoga huyo kwa avatar n wewe au
 
Ngoja mifuko ya hifadhi iunganishwe na kuwa Mmoja, tujionee
 
Soon, Africa’s Largest Utility Will Not Own Any Power Lines
https://www.linkedin.com/pulse/soon-africas-largest-utility-own-any-power-lines-alvaro-lara

Hyo Kampuni intoa huduma za PAYG ina angaza Africa na kifo cha TANESCO Pia nadhani ni Mwaka mmoja tuu kuanzia sasa...
IMG-20180412-WA0045.jpg
IMG-20180412-WA0046.jpg
IMG-20180412-WA0045.jpg
IMG-20180412-WA0040.jpg
 
Mashirika yote ya seeikali yakipata mshindani yatakufa mapema sana,

Serikali inajua hilo ndio maana hawataki kudhubutu kuruhusu atokee mshindani.

Rejea: shirika la TTCL, Dawasco.
 
Habari zenu guys!

Hili shirika tokea limeanzishwa sijawahi kusikia likipata mshindani , nahisi ndio maana huduma zao ni mbovu na wanafanya kazi kwa mazoea kwa sababu wapo peke yao, kama ttcl ilipata washindani na sasa tunaheshimiana kwa nini Tanesco hana mpinzani kutoka sekta binafsi?
Hili jipu kwa kweli,na huu ugonjwa nahisi hauna dawa hapa wamekata tangu saa sita mchana wamerudisha sasa hivi ina maan walitengeneza juisi zao zimeharibika wanaogandisha maziwa pia wamekula hasara je,wenye masaloon si ndio kabisa
 
Mkuu nishati ya umeme ni tofauti kabisa na huduma yeyote duniani kote, hata nchi zenye makampuni binafsi, hawaendeshi kama zilivyo simu kuwa waweza kuwa na umeme wa kampuni mbili myumbani kwako, wala mtaa mmoja waweza kuwa na kampuni zaidi ya moja, la hasha!
Kinachofanyika hasa ni either utakuta kampuni zaidi ya moja wanazalisha umeme na kuiuzia kampuni ya kuusafirisha, kampuni ya kusafirisha huziuzia kampuni za kusambaza umeme kwa wateja, bei zote zinapangwa na mamlaka husika ya nchi kama ilivyo EWURA kwa hapa kwetu. Na hakuna kampuni mbili zinazoweza kukutana kwa mteja mmoja, zinakuwa kikanda, kwa hivyo hakuna ushindani kwani kila mmoja atahudumia eneo lake pekee, labda mteja uamue uhamie sehemu kwenye kampuni utakayoiona iko vizuri. Na mara nyingi makampuni haya huwa mali ya umma
 
Ni nchi gani ambayo Ina makampuni independent ya umeme ambayo si mali ya serikali kwa namna moja au nyingine?

Biashara ya ufuaji umeme, popote duniani, ni huria ila sababu ya gharama kubwa za kuendesha inabaki kuwa a Monopoly market. Hata nchi zenye umeme wa uhakika sio kwamba zina ushindani bali wamewekeza heavily kwenye mashirikia yao.

Hakuna nchi hata moja, narudia, hata moja yenye ushindani kwenye mambo ya umeme Kama ilivyo kwenye masoko mengine.

So, TZ kama nchi zinginge, hakutakuwa na ushindani kwenye ufuaji na usambazaji umeme.
Kibao
 
Mkuu nishati ya umeme ni tofauti kabisa na huduma yeyote duniani kote, hata nchi zenye makampuni binafsi, hawaendeshi kama zilivyo simu kuwa waweza kuwa na umeme wa kampuni mbili myumbani kwako, wala mtaa mmoja waweza kuwa na kampuni zaidi ya moja, la hasha!
Kinachofanyika hasa ni either utakuta kampuni zaidi ya moja wanazalisha umeme na kuiuzia kampuni ya kuusafirisha, kampuni ya kusafirisha huziuzia kampuni za kusambaza umeme kwa wateja, bei zote zinapangwa na mamlaka husika ya nchi kama ilivyo EWURA kwa hapa kwetu. Na hakuna kampuni mbili zinazoweza kukutana kwa mteja mmoja, zinakuwa kikanda, kwa hivyo hakuna ushindani kwani kila mmoja atahudumia eneo lake pekee, labda mteja uamue uhamie sehemu kwenye kampuni utakayoiona iko vizuri. Na mara nyingi makampuni haya huwa mali ya umma
Una uhakika mkuu kwamba unakuya kampuni ya kusambaza ni moja?
 
Tuende kwa facts sio blah blah na story za hear say, sababu umesema kibao, taja nchi mbili tu ambazo umeme wake unatoka kwenye privately owned companies na kampuni zenyewe.

Usilete ngonjera taja nchi na kampuni.
 
Una uhakika mkuu kwamba unakuya kampuni ya kusambaza ni moja?
Wewe mwenye uhakika sema yako kwa facts, sema Ni nchi gani mteja ana amua kununua umeme toka kampuni gani na kuchagua distributor Kama mitandao ya simu.

Acha ngonjera mwaga mifano halisia.
 
Tangu wabomolewe ofisi ikinyesha tu kidogo, unakata
 
Proposed law seeks to end Kenya Power market monopoly

Kenya Power is likely to lose its stranglehold on electricity distribution and retail if a new Bill seeking to open the business to private utility providers is passed into law.

Kenya Power employees do maintenance work on transmission lines in Nyeri town. PHOTO | FILE

BY KIARIE NJOROGE, gkiarie@ke.nationmedia.com

IN SUMMARY

Private operators could be licensed to compete with utility firm if Parliament passes proposed law.Licensed distributors will build supply power lines from sub-stations to homes but another entity (a retailer) will sell, meter and bill customers, according to the proposed law.The Bill also provides for sector regulators to set the minimum capital required to enter the power distribution and retail business.

Advertisement

Kenya Power is likely to lose its stranglehold on electricity distribution and retail if a new Bill seeking to open the business to private utility providers is passed into law.

The Bill, currently with the Commission for the Implementation of the Constitution (CIC) for review ahead of its tabling in Parliament, proposes the licensing of other electricity distributors and retailers, promising consumers choice and better quality of service.

Licensed distributors will build supply power lines from sub-stations to homes but another entity (a retailer) will sell, meter and bill customers, according to the proposed law.

The retailers will buy power from different sources and pay the distribution company a fee for using their network to connect customers.

The Energy Bill, 2015 says that customers will only turn to a power distributor for supply if there is no registered retailer in their locality or if they require medium to high voltage power.

“A person requiring supply of electrical energy shall apply to the duly authorised retailer, but where there is no such retailer, to the distribution licensee,” the Bill says.

The changes are meant to create room for new players in the electricity sub-sector where Kenya Power continues to operate as a monopoly.

The Bill also provides for sector regulators to set the minimum capital required to enter the power distribution and retail business. The plan is to restrict retail licensees to a particular area or areas stated in the licence.

It is not clear from the Bill whether Kenya Power will be allowed to continue as a player in the retail market although the utility firm is expected to remain the biggest distributor in the new dispensation given its extensive distribution network.

If Kenya Power’s business is split between distribution and retail, two separate entities would be created to handle the different segments as was previously done with the separation of high voltage transmission which went to the Kenya Electricity Transmission Company (Ketraco) from distribution and retail, which remained with Kenya Power.

Such unbundling, however, exposes the listed company to a possible loss of a chunk of its revenues associated with the retail business.

As a retailer, Kenya Power has recently taken advantage of an increase in tariffs to grow its profits. The utility company’s net profit for the six months to December 2014 rose 38.5 per cent to Sh4.17 billion.

READ: Higher tariffs lift Kenya Power profit 38pc

Its sales grew 40 per cent to Sh37.6 billion despite the units of electricity consumed by households and businesses going up by a marginal 5.5 per cent — meaning the higher earnings were driven by the increase in power tariffs.

More recently, the positive financial results have seen Kenya Power continue to outperform other energy stocks at the Nairobi Securities Exchange, driven by sustained demand from foreign investors.

Kenya Power will in the new dispensation also have to compete with new players in the distribution business. The Bill proposes that different players be allowed to build distribution lines in specific areas and sell power to the retailers.

Currently, only 3.15 million homes, representing less than 40 per cent of the total households, are connected to the power grid, highlighting the potential market in the distribution and retail segment of the business.

Splitting Kenya Power into two business lines should also allow the company to concentrate on upgrading its ageing network which has been blamed for the constant power outages.

It is hoped that such upgrades, together with newly constructed distribution systems, will bring on board enough capacity to handle the 5,000 megawatts expected to be on the grid by 2017.

In June 2013, the National Assembly passed a motion to liberalise electricity distribution, paving the way for the Bill which seeks to end Kenya Power’s monopoly of over 50 years.

Power generation is already liberalised, exposing government-owned KenGen to competition from independent power producers (IPPs) such as Mumias Sugar, Aggreko and a host of upcoming producers of solar, wind and steam power.

The Bill creates an Energy Regulatory Authority, which will replace the Energy Regulatory Commission (ERC), with the regulatory mandate over the entire energy sector. If the Bill becomes law, the authority will set tariff guidelines that retailers will use to set prices.

“The tariff structure and terms for the supply of electrical energy to consumers shall be in accordance with principles prescribed by the authority,” the Bill says.

Countries such as Australia, the United Kingdom and New Zealand are already operating unbundled electricity markets where power generation, distribution and retail functions are separate.

The UK for instance has multiple retailers operating within the same areas, all using the same line. This means that a customer can switch between the different retailers depending on pricing.

The distributor companies only maintain the infrastructure and are responsible for fixing faults and repairing damaged electricity lines.

Kenyan consumers will, however, not have such a choice as only one company will be allowed to operate in a particular area and own the metres of its customers.
 
Mkuu nishati ya umeme ni tofauti kabisa na huduma yeyote duniani kote, hata nchi zenye makampuni binafsi, hawaendeshi kama zilivyo simu kuwa waweza kuwa na umeme wa kampuni mbili myumbani kwako, wala mtaa mmoja waweza kuwa na kampuni zaidi ya moja, la hasha!
Kinachofanyika hasa ni either utakuta kampuni zaidi ya moja wanazalisha umeme na kuiuzia kampuni ya kuusafirisha, kampuni ya kusafirisha huziuzia kampuni za kusambaza umeme kwa wateja, bei zote zinapangwa na mamlaka husika ya nchi kama ilivyo EWURA kwa hapa kwetu. Na hakuna kampuni mbili zinazoweza kukutana kwa mteja mmoja, zinakuwa kikanda, kwa hivyo hakuna ushindani kwani kila mmoja atahudumia eneo lake pekee, labda mteja uamue uhamie sehemu kwenye kampuni utakayoiona iko vizuri. Na mara nyingi makampuni haya huwa mali ya umma
Umenena vyema mkuu, hili ndo ambalo wengi wao hawajui. Na sababu wengi hawajafika hata hizo nchi basi hawajui mambo yanavyofanyika huko.

Umeme, maji ni nishati ambazo hata huko nje zinasimamiwa kama hapa hapa bongo, masoko yake hayana ushindani hata siku moja zaidi tu wao wanaendesha kwa weledi Basi.
 
Tuende kwa facts sio blah blah na story za hear say, sababu umesema kibao, taja nchi mbili tu ambazo umeme wake unatoka kwenye privately owned companies na kampuni zenyewe.

Usilete ngonjera taja nchi na kampuni.

Countries such as Australia, the United Kingdom and New Zealand are already operating unbundled electricity markets where power generation, distribution and retail functions are separate.

The UK for instance has multiple retailers operating within the same areas, all using the same line. This means that a customer can switch between the different retailers depending on pricing.
 
Habari zenu guys!

Hili shirika tokea limeanzishwa sijawahi kusikia likipata mshindani , nahisi ndio maana huduma zao ni mbovu na wanafanya kazi kwa mazoea kwa sababu wapo peke yao, kama ttcl ilipata washindani na sasa tunaheshimiana kwa nini Tanesco hana mpinzani kutoka sekta binafsi?
Ngoja kwanza katiba mpya labda litajadilika
 
Back
Top Bottom