Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
Anatetea asichokijua ...Mkuu pamoja na utetezi wako lakini Tanesco inatoa huduma chini ya kiwango huo ni ukweli mchungu!
Anatetea asichokijua ...Mkuu pamoja na utetezi wako lakini Tanesco inatoa huduma chini ya kiwango huo ni ukweli mchungu!
Mkuu tatizo dharau zitakuponza. Hujui unaemdharau ni nani na anaweza kukusaidia vipi shida yako. Kwakuwa umeamua kuonyesha ujuha wako basi poa mzee baba pambana na hali yako tu huwezi kusaidika maana una dharau za kiwaki.Kama ni kusoma .. dada mimi nasoma sana na ni mfuatiliaji mzuri sana.
1. Lalamiko langu ni kutobadilishiwa tariff - limeandikwa wapi kwenye mkataba kwamba ni mpaka mtandao uwepo ndo wanakubadilishia? Ina maana tangu Nov. 2018 mtandao haujawahi kuwa sawa ili nihudumiwe?
2. Kwenye mkataba iliandikwa wapi kwamba wateja wa mjini wawachangie wateja wapya wa vijijini kila wanaohitaji huduma ya Luku?
3. Ni kwa nini wasisambaze nguzo pote ili wateja wote wakawa na ghalama moja? Nikihitaji huduma wanakuja kuangalia kama nguzo iko karibu ... ikiwa mbali wanaweka gharama ya nguzo kwenye quotation yao .. lakini wakitaka kuzitumia nguzo hizo kwa ajili ya wateja wengine (majirani) - hawanirudishii chochote - eti nguzo ni mali yao. Mali yao vipi wakati niliilipia.
Tatizo wewe inawezekana unafanya kazi humo ndo maana unawatetea.
Daah acha tu mkuu.Wana kera hao kwanza siku hizi umeme unakatwa katwa hovyo bila hata taarifa kazi kutuharibia vitu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dharau iko wapi tena?Mkuu tatizo dharau zitakuponza. Hujui unaemdharau ni nani na anaweza kukusaidia vipi shida yako. Kwakuwa umeamua kuonyesha ujuha wako basi poa mzee baba pambana na hali yako tu huwezi kusaidika maana una dharau za kiwaki.
Ila jifunze kutodharau mtu usiemjua chief.
Jiteke tena uonewe huruma upewe pussy ya bure
Ni sehemu ndogo sanaaaaa ambayo wananchi wanafanya Tanesco kuunderperform sehemu kubwa ni Tanesco wenyewe na serikali kwa mfano kuna watu wamelipia tanesco waunganishiwe umeme na taratibu zote wamekamilisha then wakambiwa ndani ya siku kadhaa (kulingana na umbali nk) watakuwa washaunganishiwa leo wana zaidi ya miezi 6! hawajaunganishiwa then mwaka jana dec waziri wa nishati medard kalemani akatoa kauli ya kisiasa kuwa by dec 31, kila aliyelipia awe ashapata umeme ilhal anajua ni agizo ambalo ni hewa i.e halitekelezeki.Watu wakifuatilia wanaambiwa mara ooh nguzo, waya, luku hamna, Mara ohh vumilia tu zamu yako itafika, but kungekuwa na ushindani upuuz huu usingekuwepoNdio lakini pamoja na hayo pia kutokuwa na uelewa kwetu sisi raia nako kunachangia kuonekana huduma zipo chini ya kiwango
Hahaha unapenda ubembelezwe au upate huduma stahiki?!Kabla hawajapata ushindani walikuwa wanajifanya miungu watu. Sasa hivi wameshikishwa adabu nao wanabembeleza wateja.
Nikupe mfano mdogo tu, kampuni ya mobisol inanunua vifaa vya solar toka ujeruman, lakini huduma wanayoitoa Haina usumbufu, ukilipia NI ndani ya siku 7 unahudumiwaHahaha unapenda ubembelezwe au upate huduma stahiki?!
Lakini hili la nguzo nadhani nao huzinunua na kuzisafirisha maeneo tofauti nchini. Sidhani kama hizo nguzo zimekatwa na kutayarishiwa hapi ilemela.
Siwatetei kwa kutokukubembeleza lakini nalitaka uelewe kuhusu nguzo kuna gharama nao wanalipia, ingawa zinaweza kuwa pesa za donor na sio zao.
Nimemuomba msamaha nafikiri kama ni muungwana atakuwa amenielewa!Umemuita dada wakati sio dada,ungetumia jina mkuu
Umenena .... ona sifa za mobisol ...Bora uende mobisol
Nguzo, na vikorombezo vingine ni vifaa vyao vya kutolea huduma. Bora mteja aingie gharama ya kufunga wiring nyumbani kwake tu - wao wafikishe huduma hadi nyumbani ili wapate wateja wengi.Hahaha unapenda ubembelezwe au upate huduma stahiki?!
Lakini hili la nguzo nadhani nao huzinunua na kuzisafirisha maeneo tofauti nchini. Sidhani kama hizo nguzo zimekatwa na kutayarishiwa hapi ilemela.
Siwatetei kwa kutokukubembeleza lakini nalitaka uelewe kuhusu nguzo kuna gharama nao wanalipia, ingawa zinaweza kuwa pesa za donor na sio zao.
Tufike hatua tukatae huduma zao; wakikosa wateja ndo watajifunza. Mimi waliponizengua nikajichukulia solar - sijui malipo ya luku wala nini ... napata shida ofisini kwa kuwa sio kwangu ila kungekuwa ni kwangu (jengo) ningechukua solar nikaondokana na matatizo hayo!NYAKATO NDIO BALAA, hata mambo feki unafanyiwa na OFISI bila wewe mteja kujua
Unajua yayafukuzwa kwa kisingizio chochote kile. Angalia ndege, na bima ya afya kinachofanyika. Serikali haitaki mshindani, na akiwashinda kama airtel wanatafuta njia kumlaza chini. Wanataka wafanye kila kitu na hawawezi kufanya kila kitu, na hawataki mshindani.Umenena .... ona sifa za mobisol ...
a) Wanatoa huduma kwa mkopo wa masharti nafuu
b) Wanafanya wiring free - kila kitu ni juu yao kuanzia nyaya, vikorombezo vyote hadi ufundi
c) Wanakupa warantii ya miaka minne
d) Ukimaliza deni unamilikishwa moja kwa moja (hapo hakuna cha kulipia tena)
Hivi yakitokea makampuni mengine ya kutoa huduma ya nishati ya umme Tanesco wanakuwaje?
Tukiweka mikakati ya pamoja watarekebika tuUnajua yayafukuzwa kwa kisingizio chochote kile. Angalia ndege, na bima ya afya kinachofanyika. Serikali haitaki mshindani, na akiwashinda kama airtel wanatafuta njia kumlaza chini. Wanataka wafanye kila kitu na hawawezi kufanya kila kitu, na hawataki mshindani.
Tunashukuru kwa taarifa tafadhali tusaidie namba yako ya simu na eneo lenye tatizo haswa kwa ufatiliani na hatua zaidiKwenu uongozi wa Tanesco na Mheshimiwa waziri mwenye dhamana ya nishati, imekuwa sasa ni kawaida kwa wilaya ya Temeke kuexperience kukatiwa umeme, Angalau mara tatu kwa wiki, nakumbuka baada ya Mheshimiwa Rais kuwatumbua waliokuwa transmission head na Mwingine baada ya jiji kukaa gizani hali ilitulia nchi nzima na umeme ulikua haukatiki hovyo, hali ile imerudi tena. Je tatizo ni usimamizi hafifu na kutojali katika sekta ya umma? Kwa sababu sidhani kama Tanesco hata Ingemilikiwa Partly na private sector Kama CRDB, NMB au Vodacom kungekua na huu uzembe, ninavyoandika uzi huu umeme Ulikatika jana usiku, mimi ni mmoja wa wamiliki wa viwanda vidogo Temeke, tunazalisha kwa shift 3 hakuna uzalishaji hamuoni serikali inapoteza kodi na ufanisi?, tunapiga simu Tanesco Emergency majibu ni yale yale ndani ya zaidi ya saa 36, "mafundi wapo site wanarekebisha", au ni kwa sababu ya monopoly?, Je hata kutoa taarifa kwa umma mmeshindwa?, au hili nalo mnataka Rais awakumbushe?, mbona mnambebesha kiongozi wetu mzigo kwa aliowapa dhamana kwa kutotaka kumsaidia, mbaya zaidi kuelekea kipindi cha uchaguzi?. Au mna nia ya ya kumletea ugumu kwenye uchaguzi ukizingatia maeneo mnayokata ni yale yenye watu wengi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi nzuri kwa kuweza kujibu kwa haraka na pia mdau alete mrejesho kama tatizo lao limetatuliwaTunashukuru kwa taarifa tafadhali tusaidie namba yako ya simu na eneo lenye tatizo haswa kwa ufatiliani na hatua zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app