TANESCO itafutiwe mshindani wa kibiashara?

Tuende kwa facts sio blah blah na story za hear say, sababu umesema kibao, taja nchi mbili tu ambazo umeme wake unatoka kwenye privately owned companies na kampuni zenyewe.

Usilete ngonjera taja nchi na kampuni.
Wewe ndo unaleta Ngonjera mkuu.nimekupa ya Uk kwa mfano. Kenya waliisha pitisha hiyo bill mwezi jana. Hivyo kampuni zitaanza kupewa leseeni
 
Countries such as Australia, the United Kingdom and New Zealand are already operating unbundled electricity markets where power generation, distribution and retail functions are separate.

The UK for instance has multiple retailers operating within the same areas, all using the same line. This means that a customer can switch between the different retailers depending on pricing.
Unaona sasa mwisho wa siku ni yale Yale tu, Kama wanatumia same distribution tofauti yake Ni nini watu wenye kampuni Moja? Waya ukikata Ina maana hakuna umeme toka kampuni lolote

Ikumbukwe nchi zote zina mamlaka ya udhibiti wa nishati, hivyo chochote wanachofanya ni kwa matakwa ya serikali. Na most likely hayo makampuni ni branches tu za the main branch.
 
Wewe kwani maelezo yako yalisemaje?.turudi kwenye maelezo yako kwanza.
 
Ni nchi gani ambayo Ina makampuni independent ya umeme ambayo si mali ya serikali kwa namna moja au nyingine?

Biashara ya ufuaji umeme, popote duniani, ni huria ila sababu ya gharama kubwa za kuendesha inabaki kuwa a Monopoly market. Hata nchi zenye umeme wa uhakika sio kwamba zina ushindani bali wamewekeza heavily kwenye mashirikia yao.

Hakuna nchi hata moja, narudia, hata moja yenye ushindani kwenye mambo ya umeme Kama ilivyo kwenye masoko mengine.

So, TZ kama nchi zinginge, hakutakuwa na ushindani kwenye ufuaji na usambazaji umeme.
Umesema hakuna Duniani. Naona unataka kukana Post yako
 
Wewe ndo unaleta Ngonjera mkuu.nimekupa ya Uk kwa mfano. Kenya waliisha pitisha hiyo bill mwezi jana. Hivyo kampuni zitaanza kupewa leseeni
So Kenya kutakua na lines 7 tofauti za umeme Kama kutakua na makampuni Saba?

Mkuu nadhani una undermine ufuaji wa umeme wa kuendesha nchi. Wewe unaongele small scale companies kama za solar za kuwasha nyumba mbili tatu tu

Umeme wa nchi nzima wa kuendesha viwanda, mitambo na makazi ya walio wengi sio rahisi kufuliwa na vikampuni uchwara, hizo nchi zenyewe tu zinahangaika kuongeza ufuaji umeme.
 
Umesema Duniani. Subili nikuletee list za kampuni za kufua umeme Japan. Hahahaa Duniani. Tunaendelea. Ulisema Duniani
 
Umenena vyema mkuu, hili ndo ambalo wengi wao hawajui. Na sababu wengi hawajafika hata hizo nchi basi hawajui mambo yanavyofanyika huko.

Umeme, maji ni nishati ambazo hata huko nje zinasimamiwa kama hapa hapa bongo, masoko yake hayana ushindani hata siku moja zaidi tu wao wanaendesha kwa weledi Basi.
Kwa sababu ya ki usalama nilisikiaga
Kweli, pamoja na usalama lakini ukweli ni kuwa umeme ndio unaoendesha uchumi wa nchi yeyote, nenda mataifa makubwa kama China utakuta wana kampuni mbili moja inaitwa State grid na nyingine inaitwa Southen grid, ukiwapa watu binafsi waendeshe huduma za nishati kwa soko huria, viwanda havitaweza kuzalisha na kushinda kwenye masoko ya kimataifa. Uchumi wako utakufa. Vilevile umeme hausafirishwi kwa wireless, unahitaji miundombinu either underground au juu, sehemu zote hizi ni za umma, kampuni binasi kumiliki maeneo haya ni ishu
 
Umesema hakuna Duniani. Naona unataka kukana Post yako
Vikampuni vya kuwasha nyuma mbili vya solar vipo kila kona, tunaongelea umeme large scale kama unaozalishwa na tanesco wa kuendesha nchi. Swali ni mbadala wa tanesco, ndo nasema hakuna nchi duniani ambayo umeme wake large scale unatoka from a privately owned company.
 
Ten Electric Power Companies as Responsible Suppliers of Electricity

Currently, the ten privately-owned electric power companies are in charge of regional power supply services as General Electricity companies and are responsible for supplying electricity from power generation to distribution to the consumers in their respective service area. General Electricity companies must obtain approval from the Japanese Government by providing supply conditions such as electricity rates as general supply provisions to those consumers who are excluded from the retail liberalization. They are also responsible for supplying electricity to consumers subject to retail liberalization, based on the provisions for last resort service, if they cannot conclude contracts with power producers and suppliers (PPSs).

The electric power companies work closely with each other to enhance the stability of electricity supply to customers nationwide. For example, they exchange or provide electricity via extra-high voltage transmission lines linking the entire country from north to south, in order to cope with emergency situations resulting from accidents, breakdowns, or summer peak demand.

Classification of Businesses Specified in the Electricity Utilities Business Act
 
Vikampuni vya kuwasha nyuma mbili vya solar vipo kila kona, tunaongelea umeme large scale kama unaozalishwa na tanesco wa kuendesha nchi. Swali ni mbadala wa tanesco, ndo nasema hakuna nchi duniani ambayo umeme wake large scale unatoka from a privately owned company.
JAPANI HAPO ZIPO 10

Ten Electric Power Companies as Responsible Suppliers of Electricity

Currently, the ten privately-owned electric power companies are in charge of regional power supply services as General Electricity companies and are responsible for supplying electricity from power generation to distribution to the consumers in their respective service area. General Electricity companies must obtain approval from the Japanese Government by providing supply conditions such as electricity rates as general supply provisions to those consumers who are excluded from the retail liberalization. They are also responsible for supplying electricity to consumers subject to retail liberalization, based on the provisions for last resort service, if they cannot conclude contracts with power producers and suppliers (PPSs).

The electric power companies work closely with each other to enhance the stability of electricity supply to customers nationwide. For example, they exchange or provide electricity via extra-high voltage transmission lines linking the entire country from north to south, in order to cope with emergency situations resulting from accidents, breakdowns, or summer peak demand.
 
Umeme, maji ni nishati ambazo hata huko nje zinasimamiwa kama hapa hapa bongo, masoko yake hayana ushindani hata siku moja zaidi tu wao wanaendesha kwa weledi Basi.
Angalau umekiri kwamba serikali za CCM kwa miaka 50+ sasa, zimeshindwa kuwekeza na kuendesha kwa weledi utoaji wa huduma ya umeme.
 
Vikampuni vya kuwasha nyuma mbili vya solar vipo kila kona, tunaongelea umeme large scale kama unaozalishwa na tanesco wa kuendesha nchi. Swali ni mbadala wa tanesco, ndo nasema hakuna nchi duniani ambayo umeme wake large scale unatoka from a privately owned company.
Unajua India TATA ndo kampuni Private kunwa inayo fua na kusambaza umeme India? Tata hawaundi tu Magari pia wana fua umeme na kusambaza kwa wateja au wananchi. Tata sio ya Serikali ni Private. Upo bado na story zako za Duniani?

Tehetehe
 
Angalau umekiri kwamba serikali za CCM kwa miaka 50+ sasa, zimeshindwa kuwekeza na kuendesha kwa weledi utoaji wa huduma ya umeme.
Hilo lipo wazi. Magu anataka kujenga ila wapinzani wanapinga
 
JAPANI HAPO ZIPO 10

Ten Electric Power Companies as Responsible Suppliers of Electricity

Currently, the ten privately-owned electric power companies are in charge of regional power supply services as General Electricity companies and are responsible for supplying electricity from power generation to distribution to the consumers in their respective service area. General Electricity companies must obtain approval from the Japanese Government by providing supply conditions such as electricity rates as general supply provisions to those consumers who are excluded from the retail liberalization. They are also responsible for supplying electricity to consumers subject to retail liberalization, based on the provisions for last resort service, if they cannot conclude contracts with power producers and suppliers (PPSs).

The electric power companies work closely with each other to enhance the stability of electricity supply to customers nationwide. For example, they exchange or provide electricity via extra-high voltage transmission lines linking the entire country from north to south, in order to cope with emergency situations resulting from accidents, breakdowns, or summer peak demand.

Hivi umesoma kweli ulicho-quote? Umeshaambiwa in their respective service area yani kama wewe unagawa umeme Tokyo ni Tokyo tu au eneo lako husika. Kama eneo lako ni umeme wa tanesco basi ni wa tanesco
 
Hilo lipo wazi. Magu anataka kujenga ila wapinzani wanapinga

Teh teh! Hivi unamtenganishaje Magufuli ni huko ulikosema? The dude has been a cabinet member for over 15 years!! He is part of huo uzembe.

Na wapinzani wanapingaje? Na toka lini kupinga kwa wapinzani kukawa na madhara katika uendeshaji wa nchi hii? Ni mambo mangapi wapinzani upinga, lakini CCM inaweka pamba masikioni?

Alikuwa kwenye cabinet wakati serikali inatumia trilioni za TZS kwenye bomba la gesi. Leo, badala ya kukamilisha mradi mzima kama ilivyopangwa, anatapanya meagre resources kwenye Stigler's Gorge!!!
 
Hivi umesoma kweli ulicho-quote? Umeshaambiwa in their respective service area yani kama wewe unagawa umeme Tokyo ni Tokyo tu au eneo lako husika. Kama eneo lako ni umeme wa tanesco basi ni wa tanesco
Wewe unakumbuka ulicho post? Kwamba hakuna Kampuni Private inayo weza kusambaza umeme Duniani. Bado niko kwenye point ya Duniani hakuna Private company
Unless ukatengue kauli kwanza.
 
Unajua India TATA ndo kampuni Private kunwa inayo fua na kusambaza umeme India? Tata hawaundi tu Magari pia wana fua umeme na kusambaza kwa wateja au wananchi. Tata sio ya Serikali ni Private. Upo bado na story zako za Duniani?

Tehetehe

Acha kamba, Biggest electricity companies in India. NTPC Limited(formerly National Thermal Power Corporation) is the largest Indian state-owned electric utilities company based in New Delh. Nayo ni state owned.
 
Wewe unakumbuka ulicho post? Kwamba hakuna Kampuni Private inayo weza kusambaza umeme Duniani. Bado niko kwenye point ya Duniani hakuna Private company
Unless ukatengue kauli kwanza.

Naandika hii kwa mara ya mwisho naona umeamua kuamisha magoli na kutoka kwenye swali lenyewe. Swali kuu hapa ni nchi kuwa na kampuni binafsi zenye ushindani wa bila kutegemeana wa kuzalisha umeme mkubwa na kuuza independently na mteja kuwa huru kuchagua. Hili ndo swali la msingi la mleta uzi

Katika quotes zote ulizoleta umeshindwa kuthibitisha hili. Nchi zote ulizotaja, mosi, wanatumia mfumo mmoja wa usambazaji moja, pili wanauza umeme kwa maeneo husika (respective service area), kwa maana nyingine kampuni hizo ndogo ambazo ni privately owned zinazalisha umeme mdogo wa kuuza eneo dogo ambalo amepewa na serikali na mteja wa eneo hilo hana namna nyingine zaidi ya kutumuia umeme wa muuzaji wa hapo.

Na kama kampuni zote zinatumia mfumo mmoja wa usambazaji basi hazipo independent katika usambaji wake hivyo hitilafu ikitokea haijalishi umeme unatoka kwa nani wote mtakosa.

Privately owned kampuni zipo nyingi, hata bongo kampuni za kuzalisha umeme za solar zipo kibao ila sio za kiwango cha kuzalisha umeme wa kuendesha nchi nzima zenyewe na zote huwa zinazalisha kisha kuingiza umeme kwenye grid ya taifa.

Vivyo hivyo kwenye maji, unaweza kuwa na kisima chako au kijiji kikawa na kisima chake ila haliwezi kuja kampuni kuanzisha vyanzo vyake na kujenga mabomba yake tofauti na system iliyopo kwenye nchi husika. Wanachoweza kufanya ni kujenga vyanzo na kuingiza maji kwenye mkondo wa taifa, au kusambaza kwenye eneo lao walilopewa dhamana.

Baada ya kusema hayo, nimemaliza.
 
The Tata Power Company Limited is an Indian electric utility company based in Mumbai, Maharashtra, India and is part of the Tata Group.[5][6] The core business of the company is to generate, transmit and distribute electricity.[7] With an installed electricity generation capacity of 10,577MW, it is India's largest integrated power company.[8][9][10][11][12] Tata Power has been ranked 3rd in 2017 Responsible Business Rankings [1]developed by IIM Udaipur. In February 2017, Tata Power became the first Indian company to ship over 1 GW solar modules.[13
 
Back
Top Bottom