CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,958
- 9,517
Wewe ndo unaleta Ngonjera mkuu.nimekupa ya Uk kwa mfano. Kenya waliisha pitisha hiyo bill mwezi jana. Hivyo kampuni zitaanza kupewa leseeniTuende kwa facts sio blah blah na story za hear say, sababu umesema kibao, taja nchi mbili tu ambazo umeme wake unatoka kwenye privately owned companies na kampuni zenyewe.
Usilete ngonjera taja nchi na kampuni.
Unaona sasa mwisho wa siku ni yale Yale tu, Kama wanatumia same distribution tofauti yake Ni nini watu wenye kampuni Moja? Waya ukikata Ina maana hakuna umeme toka kampuni loloteCountries such as Australia, the United Kingdom and New Zealand are already operating unbundled electricity markets where power generation, distribution and retail functions are separate.
The UK for instance has multiple retailers operating within the same areas, all using the same line. This means that a customer can switch between the different retailers depending on pricing.
Wewe kwani maelezo yako yalisemaje?.turudi kwenye maelezo yako kwanza.Unaona sasa mwisho wa siku ni yale Yale tu, Kama wanatumia same distribution tofauti yake Ni nini watu wenye kampuni Moja? Waya ukikata Ina maana hakuna umeme toka kampuni lolote
Ikumbukwe nchi zote zina mamlaka ya udhibiti wa nishati, hivyo chochote wanachofanya ni kwa matakwa ya serikali. Na most likely hayo makampuni ni branches tu za the main branch.
Umesema hakuna Duniani. Naona unataka kukana Post yakoNi nchi gani ambayo Ina makampuni independent ya umeme ambayo si mali ya serikali kwa namna moja au nyingine?
Biashara ya ufuaji umeme, popote duniani, ni huria ila sababu ya gharama kubwa za kuendesha inabaki kuwa a Monopoly market. Hata nchi zenye umeme wa uhakika sio kwamba zina ushindani bali wamewekeza heavily kwenye mashirikia yao.
Hakuna nchi hata moja, narudia, hata moja yenye ushindani kwenye mambo ya umeme Kama ilivyo kwenye masoko mengine.
So, TZ kama nchi zinginge, hakutakuwa na ushindani kwenye ufuaji na usambazaji umeme.
So Kenya kutakua na lines 7 tofauti za umeme Kama kutakua na makampuni Saba?Wewe ndo unaleta Ngonjera mkuu.nimekupa ya Uk kwa mfano. Kenya waliisha pitisha hiyo bill mwezi jana. Hivyo kampuni zitaanza kupewa leseeni
Umesema Duniani. Subili nikuletee list za kampuni za kufua umeme Japan. Hahahaa Duniani. Tunaendelea. Ulisema DunianiSo Kenya kutakua na lines 7 tofauti za umeme Kama kutakua na makampuni Saba?
Mkuu nadhani una undermine ufuaji wa umeme wa kuendesha nchi. Wewe unaongele small scale companies kama za solar za kuwasha nyumba mbili tatu tu
Umeme wa nchi nzima wa kuendesha viwanda, mitambo na makazi ya walio wengi sio rahisi kufuliwa na vikampuni uchwara, hizo nchi zenyewe tu zinahangaika kuongeza ufuaji umeme.
Umenena vyema mkuu, hili ndo ambalo wengi wao hawajui. Na sababu wengi hawajafika hata hizo nchi basi hawajui mambo yanavyofanyika huko.
Umeme, maji ni nishati ambazo hata huko nje zinasimamiwa kama hapa hapa bongo, masoko yake hayana ushindani hata siku moja zaidi tu wao wanaendesha kwa weledi Basi.
Kweli, pamoja na usalama lakini ukweli ni kuwa umeme ndio unaoendesha uchumi wa nchi yeyote, nenda mataifa makubwa kama China utakuta wana kampuni mbili moja inaitwa State grid na nyingine inaitwa Southen grid, ukiwapa watu binafsi waendeshe huduma za nishati kwa soko huria, viwanda havitaweza kuzalisha na kushinda kwenye masoko ya kimataifa. Uchumi wako utakufa. Vilevile umeme hausafirishwi kwa wireless, unahitaji miundombinu either underground au juu, sehemu zote hizi ni za umma, kampuni binasi kumiliki maeneo haya ni ishuKwa sababu ya ki usalama nilisikiaga
Vikampuni vya kuwasha nyuma mbili vya solar vipo kila kona, tunaongelea umeme large scale kama unaozalishwa na tanesco wa kuendesha nchi. Swali ni mbadala wa tanesco, ndo nasema hakuna nchi duniani ambayo umeme wake large scale unatoka from a privately owned company.Umesema hakuna Duniani. Naona unataka kukana Post yako
JAPANI HAPO ZIPO 10Vikampuni vya kuwasha nyuma mbili vya solar vipo kila kona, tunaongelea umeme large scale kama unaozalishwa na tanesco wa kuendesha nchi. Swali ni mbadala wa tanesco, ndo nasema hakuna nchi duniani ambayo umeme wake large scale unatoka from a privately owned company.
Angalau umekiri kwamba serikali za CCM kwa miaka 50+ sasa, zimeshindwa kuwekeza na kuendesha kwa weledi utoaji wa huduma ya umeme.Umeme, maji ni nishati ambazo hata huko nje zinasimamiwa kama hapa hapa bongo, masoko yake hayana ushindani hata siku moja zaidi tu wao wanaendesha kwa weledi Basi.
Unajua India TATA ndo kampuni Private kunwa inayo fua na kusambaza umeme India? Tata hawaundi tu Magari pia wana fua umeme na kusambaza kwa wateja au wananchi. Tata sio ya Serikali ni Private. Upo bado na story zako za Duniani?Vikampuni vya kuwasha nyuma mbili vya solar vipo kila kona, tunaongelea umeme large scale kama unaozalishwa na tanesco wa kuendesha nchi. Swali ni mbadala wa tanesco, ndo nasema hakuna nchi duniani ambayo umeme wake large scale unatoka from a privately owned company.
Hilo lipo wazi. Magu anataka kujenga ila wapinzani wanapingaAngalau umekiri kwamba serikali za CCM kwa miaka 50+ sasa, zimeshindwa kuwekeza na kuendesha kwa weledi utoaji wa huduma ya umeme.
JAPANI HAPO ZIPO 10
Ten Electric Power Companies as Responsible Suppliers of Electricity
Currently, the ten privately-owned electric power companies are in charge of regional power supply services as General Electricity companies and are responsible for supplying electricity from power generation to distribution to the consumers in their respective service area. General Electricity companies must obtain approval from the Japanese Government by providing supply conditions such as electricity rates as general supply provisions to those consumers who are excluded from the retail liberalization. They are also responsible for supplying electricity to consumers subject to retail liberalization, based on the provisions for last resort service, if they cannot conclude contracts with power producers and suppliers (PPSs).
The electric power companies work closely with each other to enhance the stability of electricity supply to customers nationwide. For example, they exchange or provide electricity via extra-high voltage transmission lines linking the entire country from north to south, in order to cope with emergency situations resulting from accidents, breakdowns, or summer peak demand.
Hilo lipo wazi. Magu anataka kujenga ila wapinzani wanapinga
Wewe unakumbuka ulicho post? Kwamba hakuna Kampuni Private inayo weza kusambaza umeme Duniani. Bado niko kwenye point ya Duniani hakuna Private companyHivi umesoma kweli ulicho-quote? Umeshaambiwa in their respective service area yani kama wewe unagawa umeme Tokyo ni Tokyo tu au eneo lako husika. Kama eneo lako ni umeme wa tanesco basi ni wa tanesco
Unajua India TATA ndo kampuni Private kunwa inayo fua na kusambaza umeme India? Tata hawaundi tu Magari pia wana fua umeme na kusambaza kwa wateja au wananchi. Tata sio ya Serikali ni Private. Upo bado na story zako za Duniani?
Tehetehe
Wewe unakumbuka ulicho post? Kwamba hakuna Kampuni Private inayo weza kusambaza umeme Duniani. Bado niko kwenye point ya Duniani hakuna Private company
Unless ukatengue kauli kwanza.