FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Kaa chini wewe!!! Siyo kila kitu unyooshe mkono. Unadhani hapa tunafundishana Sarufi?
Hayo ni mambo ya NETQUETTE. Alama nyingi za kuuuliza zina maana yake, kuuliza mchanganyiko na kushangaa zina maana yake, Herufi kubwa zote pia zina maana yake, Bold pia kuna maana. We vipi? Unakagua usiyoyaelewa?
Umeanza kutumia mtandao lini? Hii ni njia ya mawasiliano iliyokuja na taratibu zake jifunze jinsi ya kutumia maneno, alama na mpangilio wake. Usirukie taaluma za watu.
Taaluma ya kujaza ma question mark na ma dots?
Unazidi kuniaminisha kuwa hizo shule mnasomea ujinga.