FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,803
Kama ni hivi hatuendi kokote. Sayansi gani unayozungumzia? Hata upendeleo ni sayansi? Utawezaje sayansi ktk siasa wakati shuleni ilikushinda?
Hebu tuamini kwamba ametumia sayansi, ni shule ipi au chuo kipi unachoamini kakianzisha profesa wetu, ambacho ni mfano wa mafanikio? Mafanikio ya mtu anayefaa, usiniletee mfano wa mtu sifuri.
Unaoesha huelewi kuna "Political Science".
Si kila elimu inapatikana darasani, kumbuka hilo, wengi waliofanya vizuri kwenye maisha hawakufanya vizuri mashuleni, utasema hawana elimu? Jee, hulijuwi hilo?