Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 9,544
- 35,198
Nzuri japo hainihusu inshallah karibu huku NgalaMpendwa kwema? Heri ya pasaka.
Usinisahau Id
Nzuri japo hainihusu inshallah karibu huku NgalaMpendwa kwema? Heri ya pasaka.
Usinisahau Id
Manina zenu BK, sambusa za senene?View attachment 1264333
View attachment 1285645
Inaboa uzi mrefu kuunganishwa. Mods acheni wivu. Sijui niwatukane aah tatizo mnaringia kitisho cha Ban
I miss my thread "Njoo tucheke pamoja"
Ngala tena?!! Jana ni kama ulipita Shekilango?Nzuri japo hainihusu inshallah karibu huku Ngala
๐๐๐Nimeamini ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu mpendwa ndio nipo Ngala nimekuja na usafiri wetu wa ki Africa usiku๐คชNgala tena?!! Jana ni kama ulipita Shekilango?
Nimeamini ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu mpendwa ndio nipo Ngala nimekuja na usafiri wetu wa ki Africa usiku
Ila Ankoo why umeniumbua jukwaani ๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐๐๐
Wasalimie sana huko, itakuwa macho yangu makengeza
Ankoo sio wewe niliye kuona, nimechanganya madesa . Unavyo rudi nipitie K9Ila Ankoo why umeniumbua jukwaani
Yaaani huwa unapita kwenye comments kimyakimya hata ulaiki ๐ฌ๐ฌ๐๐พ๐๐พAnkoo sio wewe niliye kuona, nimechanganya madesa . Unavyo rudi nipitie K9
fb nao wamecharukaView attachment 2190994
Natamani nikudai thikukuu yangu... Au basiNaona dada ana mafua
Shemeji zangu haoWasukuma bhana
Natamani nikudai thikukuu yangu... Au basi
Shemeji zangu hao
Happy easter ankoo
Pilau halijabaki nije?hata ukoko nakula