Tamu za Numbie

Tamu za Numbie

F095B1F3-E72A-4271-8BAF-A2A150524D43.jpeg
 
Happy easter ankoo
Pilau halijabaki nije?hata ukoko nakula

Kesho watoto shule,pasaka imeahirishwa hadi pale ndugu zetu watakapo maliza mfungo. Undugu wetu sio wa kukutana barabarani ujue... Naja huko idd El fitr
 
😂😂😂😂😂😂Anko bana
Mambo ya kulaiki kwenye mazingira kama yale huwa yanamnyima uhuru wa kujiachia mlaikiwa.
Hata Esta akiwa kwenye ligi zake huwa silaiki kabisa.
Mpendwa ulipo nipo
 
Back
Top Bottom