Tamu za Numbie

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
270,888
1,106,360
73414105_2258113607628146_8190081877460011151_n.jpg

IMG_20191208_175323.jpg


Inaboa uzi mrefu kuunganishwa. Mods acheni wivu. Sijui niwatukane aah tatizo mnaringia kitisho cha Ban

I miss my thread "Njoo tucheke pamoja"
 
Tazama namna samaki huyu alivyoruka sarakasi ili kujipatia matunda yaliyo jirani na maji.
Samaki huyu aliyegoma kulala njaa anapatikana Brazil katika bwawa la Bonito.
Nikutakie mwanzo mwema wa wiki na utafutaji mwema wa riziki, Usikate tamaa.
74693463_430151764314378_4277312891614218325_n.jpg
 
Back
Top Bottom