The Ghost is back

The ghost writer

Senior Member
Apr 5, 2023
179
263
Am the Ghost writer and It's very honorable to be back again ndani ya jamiiforum. Am so glad to say I love jf and I love people who have been there for me.

My name is Ghost, Nilijiunga na JF mwaka huu ikiwa ni sehemu ya kupata maarifa, kubadilishana mawazo na marafiki wapya. Nashukuru sana hilo nilikaribishwa vyema na mada zangu kupata mchango na wadau tofauti tofauti naweza kusema hawa walikuwa ni friends wapya kwangu. Am so thankful for that...

It's The Ghost. Yeah unaweza kushangaa I means nitakayosema yanaweza kukushangaza kwa wakati mmoja lakini acha nizungumze. Katika kipindi cha maisha yangu nimepitia changamoto nyingi, moja ya changamoto kubwa katika nyakati za maisha yangu ni kupata stroke (paralysis) nikiwa na umri wa miaka 13, nikiwa sijui chanzo ni nini? Maana tatizo lilikuja ghafla, but hakuna kitu kisichokuwa na chanzo. Hivo naamini tatizo langu hilo lilitokana na ushirikina na yote aliyefanya haya alikuwa ni mama yangu wakambo. Sijui aliwaza nini kunifanyia haya, je ilikuwa ni wivu? Chuki binafsi? Au kujifurahisha? I don't know! But it's okay for me because I know I got this in my life. She's ruined my life through the Ghost, so I called myself the Ghost to end this fight...

Its me the Ghost writer
The Ghost with good spirits
Get me on the touch
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom