Tamthiliya ya Sultan inaharibu ndoa

Tamthiliya ya Sultan inaharibu ndoa

Hii tamthilia wanaita SULTANA hatari kwa ndoa yani unakosa tendo, unakuta mwenza sa mbili kapika, hadi na nusu umekula unakuta mara sultana hadi sa tano huko akija kulala umelala, tendo hujapata, nipeni uzoefu nyie ratiba mmezipangaje
Mbadilishie king'amuzi weka dstv,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe wahanga wa sultan tupo wengi, yaan unamuandalia kila kitu mapema, SAA moja tu ushamshushia mpaka neti unamuandalia hadi nguo za kazini by SAA 2 mshakula.

Baba chanja akiingia chumbani kila kitu kiko safi abakosa 7bu ya kukuitaita, mwisho anakita we mama chanja njoo unipepee nasikia joto.
Unamuwashia fan unamuacha hapo ukirudi SAA 5 anakoloma hahahah

Akiamka asbh kanuni, ila hii sultan itatuvunjia ndoa kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahha dawa ni kununua TV ya chumbani, unaangalia uku unaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapenda.Tatizo hatuna niegez.
hivi kwani wakina mama huwaga hampendi kugegedwa na waume zenu mbona wakati mwingine mnalalamika ooo mumewangu yeye akipiga bao moja tu chali anakoloma haamshi tena mkoje nyie ??? sasa unapoangalia siema mpaka umkute mwenzio kalala unaweza ukaisha hata mwezi je wewe huna hamu ya kugegedwa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli bwana. Ni suala la ratiba tu. Labda kama wewe mwenzetu ni wale mliokamatwa mpka mnajuta kwanini mliingia ndoani. Binafsi, sisi tunakula mapemaaa, yani kati ya saa moja au mbili hivi. Hivyo, hapo kuna muda mzuri tu wa kumkamua. Tena muda wa kuangalia SULTAN tunakuwa wote tunajikausha mbele ya wanafamilia utasema hatujafanya matusi. Na tukimaliza nakanyaga tena, kudaaaaadeki.

Ushauri

Kukanyagana hakuna kanuni sana. Wanandoa wengi tunakosea sana, eti mnakuta muda, eneo ni lilelile kila siku. Siku nyingine mazingira yakiruhusu kama kwa mfano mpo peke yenu mkanyage hapohapo na SULTAN wake. Masuala haya ni utundu tu na utukutu.
Safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nawashangaa sana baadhi ya wanandoa wanachukulua kupigana miti simple simple, weeeeeee......hiyo ni kama battle field japo sio kila siku mnakuwa na show za msimu japo kwa mwezi mara mbili au tatu sio haba.

Mnanjunjana hadi unauskilizia ukuni kama unakutoboa vile unatokeza kwenye maini na figo na bandama, mkichanganya na mitusi mnashushiana hapo mbona burudani!! Mkija mkikojoleana kwa pamoja ile ya kuhesabiana ileeee unalala mazima ukishtuka hapo kumeshakucha mnatawanyikia mihangaikoni, basi kila ukimemorize unajikuta unacheeeeka mwenyewe
ha ha ha ha ha we jamaa unapenda kufanya matusi sana
 
Alafu utundu tu investment yake ndogo.
hapana yaani sisi tuwatundu vya kutosha lakini mnacho tuboa ni hapo tu unapokuwa bize na tamsilia unaniacha chumbani tena zimepanda hatari unajizunguuusha huko mpaka unanikuta nimelala halafu mambo ya maisha yanatakiwa yaishie mlangoni ukiingia ndani tu unaanza kumuwaza mpendwa wako hapo niegez lazima uzisikilizie tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom