Tamthiliya ya Sultan inaharibu ndoa

Tamthiliya ya Sultan inaharibu ndoa

Kujiendekeza tu mi nimuache mume wangu niliyekesha kuswali kiyamu laili kumpata kwaajili ya huo upuuzi.
BIBIE WEWE UMEOLEWA TAYARI...? NINA MPANGO MWEMA WA KUTEKELEZA SUNNA BORA MATHNA...KWA WANAWAKE BORA KAMA WEWE NIWASITIRI...
 
Kujiendekeza tu mi nimuache mume wangu niliyekesha kuswali kiyamu laili kumpata kwaajili ya huo upuuzi.
Hhahahahhahahaha dada othiamboooo nimekupenda. Kwamza mwanaume unaevumilia huo upuuzi jitafakari chukua hatua
 
Hiii sasa inataka kuwa kama tamthilia ya the promise ile ya mwanzo kabisa
 
m
mtafiti, chukulia mnatoka kwene mihangaiko ndani mnaingia sa moja, akolezea mkaa hadi ukolee, apike, mle si sa tatu tayri hyo?! mmekula unatarajia muende kulala mwenzio anasema anaangalia sultani, mbali na hvo, mnapoenda kulala na mwenzio kwa pamoja kuna raha yake sio anakuja ushalala mnaonana

Sasa, hoja ilikuwa sisi wengine tunafanyaje ili kukabiliana na hali hii? Mimi nikatoa vile ninafanya.Basi kumbe suala hapa si la jumla, inategemea mnaishi vipi, kuanzia aina ya kazi na maelewano yenu ndani ya nyumba.

Nina hakika kama kuna mawasiliano mazuri, bado mnaweza kuafikiana namna ya kufanya ili mambo yaende.Hilo ni tatizo si kwa SULTAN pekee, bali kwa mambo mengi. Kwa mfano, unasemaje kwa washabiki wa mpira? EPL na World cup, wakike nao wasemeje hapa?

Ulivyoitaja SULTAN ni kama vile yenyewe tu ndo inashida hadi kuisema inahatarisha ndoa, vip mipira? Ninafikiri kuwasiliana ni muhimu

Pole sana
 
Kuna demu juzi kaniuzi baada ya kukubaliana mida ya jioni aje ilipofika saa 1 akasema anapika nikasema sawa ukimaliza na ikifika saa 3 usiku ni sultan hawezi kuacha kuangalia.
 
Sijaona shida kwenye hizo mambo. Muache aangalie tamthilia yake. Ukishtuka usiku piga miti. pia kama unahamu wakati yeye anaangalia hayo makitu nawe jifanye unaangalia naye huku ukiwa umempakata. Fanya utundu piga mzigo. Maliza. Kalale. Acha aendelee na Hurem sijui Sultan saidi saidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom