PENTAKINYE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 817
- 829
unajua ukishalala ukapitiwa usingizi kuja kushtuka mwili urudi kwenye mudi ya kula mzigo inakuwa kazi labda ufanye kazi ya ziada kuniandaa nirudi kawaida bora cha asubuhi unakuwa uko vizuri lakini kinaongoza kwa kuchelewesha watu kazini maana huwezi acha haraka wakati ndiyo mambo yamepamba motoKwani usiku huwezi shtuka ukapewa mambo jamani



