Mustakabali wa Siasa na Mifumo ya Kiserikali

Mustakabali wa Siasa na Mifumo ya Kiserikali

wisso1

Member
Joined
Jun 29, 2026
Posts
26
Reaction score
45
Kwa kweli nashindwa kuwaelewa kabisa wanaosema ati Kujiuzulu kwa VP bas the same way ambayo atakayoitumia boss kubwa ⏱️💯 kuachia ngazi.

Labda niwaambie tu, me nadhani hamumjui huyu bibi vizur...

Ni mroho na mlafi wa madaraka haijawahi kutokea tangu kuzaliwa kwa Tanganyika.
Yupo tayari kufanya lolote ilimradi tu aendelee kubakia hapo alipo, kwahyo kinachofanyika kwa sasa ni kuwaondoa watu wenye reasoning na kubakiza mazezeta wenzie huko juu ili waendelee kubagaza nchi vzur...

Msitegemee kwamba hyu bibi ataachia ngazi before 2030 labda afie madarakani kama mtangulizi wake.

Na kibaya zaidi, ni Rais ambaye hana haya wala staha...
Jus imagine mtu ametumia kila mbinu haramu ndani na nje ya chama ili tu abakie pale na mara tu baada ya mauaji ya October akampa mwanae cheo wizarani na wanafamilia wengine wakalamba teuzi.

Huyo mtu ashajizila liwalo na liwe ila kuachia kiti tusahau labda AFE.

Kama angeliona hilo mapema alipata wasaa mzur wakati ya Maandamano ya mwaka jana. Asingekubali kuapishwa au angejiuzulu soon baada ya uapisho.

Yeye hajali hata kwanini vigogo wengi wamejing'atua katika kipindi chake, hayo mtajua nyinyi.

Yaani ndan ya mda mfupi, Maspika wa 3, Mawaziri wakuu wa2 na na makamu wa rais 3.
Hapo bado ataendelea kutafuta mchawi.
 
Kwa namna alivyojichimbia mizizi, labda litokee la kutokea. Kinyume na hapo ni 2030 kweli kama ulivyosema.
 
Back
Top Bottom