Kuna watu wameshazoea.Hizo shuka hazichafuki?
Na kulala na vipodozi usoni kiafya haitakiwi
Jumatatu hadi Ijumaa saa 2:30 UsikuNaomba ratiba ya selina mkuu
Asante sana [emoji847]Jumatatu hadi Ijumaa saa 2:30 Usiku
Hadi kashaulo anakampuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kea huba wanazingua. Kila mtu ana kampuni
Kibenten yupo smart balaa namba ni hii 0745679053Jmn mwenye namba ya kibenten cha tesa namsalimia
Kiukweli Huba na kapuni vimenifanya ninunue DSTV pamoja na kitim timMkuu jaribu kufatilia Tamthilia ya KAPUNI siku ya jmosi na jpili saa 3 usiku DSTV channel 160 na Tamthilia ya PETE siku ya j3,j4 na j5 pia DSTV channel 158 kuanzia saa 2 kamili utaona hiyo HUBA yako ni takataka tu.