Tamko Rasmi la Wanafunzi wa Vyuo vya Dodoma

Nape na Vijana wa WAMA mnahangaika sana ... Sisi tuliwaona kwenye TV ... Hayo magazeti ya JAMBALEO tunajua yako wa Ridhwani na Membe ... Hamna jipya...
Siku chache baada ya mbunge wa monduli kudai kuwa amechangiwa fedha na wanafunzi wa vyuo vikuu vya dodoma na kumshawishi agombee urais wanafunzi wa vyuo hivyo wa mkoa wa dodoma kikiwemo UDOM wameibuka na kupinga madai hayo.

wanafunzi hao wamedai kuwa hawajawahi kukaa hata siku moja na kuchanga fedha hatimaye kwenda kwa Lowasa kumuomba agombee urais wakizungumza kwa uchungu wanafunzi hao wamesema Lowasa ni muongo anayetumia pesa kuhadaa jamii.
 
Wamenunuliwa na Makamba na Membe ili wakanushe.
 
Nape na Vijana wa WAMA mnahangaika sana ... Sisi tuliwaona kwenye TV ... Hayo magazeti ya JAMBALEO tunajua yako wa Ridhwani na Membe ... Hamna jipya...

Riz na familia ya Jk hawapo na Membe kitambo walishamtosa hawamtaki kabsa kwenye URAIS wamebaki kuwa ndugu tu na pengine kumzuga kuwa wapo naye, chagua lao ni Pinda au Kinana au Wasira na lowasa baadae lakini Membe hana nafasi kwao walimtosa baada ya kugundua kuwa alikwapua mapesa ya Marehemu Gadafi kisha akamuua balozi wa libya kimafia, hawataki Rais ajae awe Mgeni wa The Hague Mahakama ya Uhalifu wa kimataifa.
 
kumbe wanafunzi wa vyuo vya Dodoma ni vilaza namna hii. Tamko gani hili utadhani limeandikwa na mtoto wa darsa la tatu? ndio maana wanasiasa uchwara wanayatumia sana haya madent ya Dodoma

Wamekurupuka tu baada ya kupewa pesa na Membe
 
Tamko lenyewe halieleweki!!! pamoja na hayo.
mbona wasomi waTZ ni lahisi kunulika!! ndio maana hata OBAMA hakuamini ulinzi wetu..
vijana wa vyuo wote changamoto...
 
TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.

Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi wa habari,si kawaida na wala mazoea kwa marais na viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka vyuo tofauti kukutana kwa pamoja na kuzungumza na nyie wanahabari kama inavyotokea hii leo.

Ndugu wanahabari,siku ya Jumapili ya tarehe 22 mwezi huu wa 3,kundi la watu waliojitambulisha kama ni wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma walijikusanya nyumbani kwa mh; Lowasa na kutoa matamko mbalimbali ikiwa pamoja na kuutangazia uma wa watanzania kuwa sisi wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma tunamuunga mkono na tunahitaji Lowasa awe rais wetu sambamba kumchangia pesa.

Ndugu wanahabari,Tunapenda kukanusha kuwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma kwa ujumla wetu hatukuhusika na jambo lile na kama viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka vyuo vikuu vya mkoa huu wa Dodoma,Tunapinga na kulaani kitendo cha watu wachache kwenda kutuingiza sisi wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma katika jambo ambalo halituhusu na wala si lililotuleta hapa Dodoma.

Sisi kama wasomi ambao jamii inatutegemea kama kioo hatuwezi kuandamana na kujikusanya kwenye nyumba ya kiongozi na kumuomba agambee urais, wakati tunajua fika sisi hatuhusiki na uteuzi wa wagombea ndani ya taasisi yao.Kilichofanyika ni kuudanganya uma wa watanzania na taasiasi yake kupitia kivuli cha vijana wachache kutoka vyuo vya hapa Dodoma,waliolipwa pesa ili waweze kuwa kava la tukio lile.

Ndugu wanahabari,Mkoa wa Dodoma unavyuo vikuu visivyopungua 8,Na jumla ya wanafunzi wote tunaosoma katika vyuo vya Dodoma ni zaidi ya wanafunzi 35,000.Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) pekee yake kinawanafunzi wasiopungua 22,000.Idadi ya watu waliojikusanya nyumbani kwa Mh: Lowasa siku ya tarehe 22-03-2015 haizidi watu 230 wakiwemo Wamachinga na Wenyeviti wa Jumuiya za wazazi, kama vyombo vya habari vilivyoripoti.

Ukiwatoa Wamachinga na Wenyeviti wa Jumuiya za wazazi waliotoka mikoa mbalimbali,idadi ya wanafunzi waliokuwepo kwenye tukio lile hawazidi 150.Idadi hii ni sawa na asilimia 0.4 ya wanafunzi wote wanaosoma vyuo vikuu vya Dodoma.Ndugu wanahabari,kwa akili ya kawaida kabisa asilimia 0.4 ya wanafunzi wa vyuo vikuu ndio waliokuwa pale.Tunashangazwa na dhambi tusiyoitenda tunayobebeshwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma ambao kwa sasa tupo bize na msimu mpya ya masomo wenye changamoto mbalimbali.

Ndugu wanahabari,sisi kama vijana wasomi na watu tunaotegemewa na jamii zetu tutakusanyika katika kujadili na kuchambua changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii yetu na sio kukusanyika kwa ajili ya mwanasiasa ambaye sifa zake na uhadilifu wake unatiliwa shaka katika jamii.Tunaomba mlijulishe Taifa, kuwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma hatujahusika na tukio lile isipokuwa wanafunzi wachache walitumika kwa kupewa pesa na wahusika wa tukio lile.Tunataka Taifa lijue hatupo tayari kutumia elimu zetu kulitia upofu taifa letu.

Waambieni mama zetu na baba zetu huku vijijini kwetu kuwa tumekuja kutafuta elimu ili ituwezeshe kuwakomboa wao na sio kutumika na Wanasiasa kwa malengo yao.Tunatambua haki ya mwanafunzi kuamua na kufanya shughuli za kisiasa nje ya maeneo ya vyuo, lakini hatukubaliani na wanafunzi wachache kuchafua na kuwapaka matope maelfu ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma ambao hawajahusika na tukio lile.Hii sio haki na haikubaliki.

Vilevile tungependa kutumia fursa hii kuwaasa wanafunzi wenzetu popote pale nchini, makundi mbalimbali ya kijamii (wakulima, wafugaji, wavuvi, wamachinga, wasanii, n.k), zikiwemo taasisi za dini kwamba watu wachache kuzungumza kwa niaba ya makundi juu ya mambo yanayogusa maamuzi ya mtu binafsi.

Mwisho tunatoa wito kwa wanafunzi wenzetu wote kujitambua na kutumie muda wetu kwa mambo ya msingi na muhimu kwa ustawi wa Nchi yetu. Na kuonesha jinsi wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma walivyokasilishwa na jambo hili, Tamko hili limesainiwa na wanafunzi 7821 toka vyuo mbali mbali vya Dodoma.Majina ya sahihi za wanafunzi zimeambatanishwa. Tusikubali kutumika na wanasiasa wa aina hii.

Asanteni

Mungu ibariki Tanzania,Mungu vibariki vyuo vikuu vya Dodoma.

Kwa niaba ya wawakilishi wa serikali za Wanafunzi Chuo cha Mipango,Chuo cha Madini, Chuo cha Hombolo,Chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) na CBE.

DANIEL DANIEL -Rais wa Saint Jonh’s University

26/03/2015
Hawa Vijana wanaojiita wawakilishi wa wanafunzi wa vyuo vikuu Dodoma ni vilaza, eti ndugu waandishi, mlikutana na waandishi wa habari lini? Wapi? Kwa maelekezo ya nani? Waandishi gani? Vielelezo viko wapi? Hata picha iko wapi mlipokuwa huko unakoita mmekutana na waandishi wa habari? Acheni drama za kitoto, na nyie mnamsupport nani? UKAWA? Imekula kwenu, Rais mtarajiwa wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ni ndg Edward Ngoyai Lowassa Kutoka Chama cha Mapinduzi.
 
TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.

Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi wa habari,si kawaida na wala mazoea kwa marais na viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka vyuo tofauti kukutana kwa pamoja na kuzungumza na nyie wanahabari kama inavyotokea hii leo.

Ndugu wanahabari,siku ya Jumapili ya tarehe 22 mwezi huu wa 3,kundi la watu waliojitambulisha kama ni wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma walijikusanya nyumbani kwa mh; Lowasa na kutoa matamko mbalimbali ikiwa pamoja na kuutangazia uma wa watanzania kuwa sisi wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma tunamuunga mkono na tunahitaji Lowasa awe rais wetu sambamba kumchangia pesa.

Ndugu wanahabari,Tunapenda kukanusha kuwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma kwa ujumla wetu hatukuhusika na jambo lile na kama viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka vyuo vikuu vya mkoa huu wa Dodoma,Tunapinga na kulaani kitendo cha watu wachache kwenda kutuingiza sisi wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma katika jambo ambalo halituhusu na wala si lililotuleta hapa Dodoma.

Sisi kama wasomi ambao jamii inatutegemea kama kioo hatuwezi kuandamana na kujikusanya kwenye nyumba ya kiongozi na kumuomba agambee urais, wakati tunajua fika sisi hatuhusiki na uteuzi wa wagombea ndani ya taasisi yao.Kilichofanyika ni kuudanganya uma wa watanzania na taasiasi yake kupitia kivuli cha vijana wachache kutoka vyuo vya hapa Dodoma,waliolipwa pesa ili waweze kuwa kava la tukio lile.

Ndugu wanahabari,Mkoa wa Dodoma unavyuo vikuu visivyopungua 8,Na jumla ya wanafunzi wote tunaosoma katika vyuo vya Dodoma ni zaidi ya wanafunzi 35,000.Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) pekee yake kinawanafunzi wasiopungua 22,000.Idadi ya watu waliojikusanya nyumbani kwa Mh: Lowasa siku ya tarehe 22-03-2015 haizidi watu 230 wakiwemo Wamachinga na Wenyeviti wa Jumuiya za wazazi, kama vyombo vya habari vilivyoripoti.

Ukiwatoa Wamachinga na Wenyeviti wa Jumuiya za wazazi waliotoka mikoa mbalimbali,idadi ya wanafunzi waliokuwepo kwenye tukio lile hawazidi 150.Idadi hii ni sawa na asilimia 0.4 ya wanafunzi wote wanaosoma vyuo vikuu vya Dodoma.Ndugu wanahabari,kwa akili ya kawaida kabisa asilimia 0.4 ya wanafunzi wa vyuo vikuu ndio waliokuwa pale.Tunashangazwa na dhambi tusiyoitenda tunayobebeshwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma ambao kwa sasa tupo bize na msimu mpya ya masomo wenye changamoto mbalimbali.

Ndugu wanahabari,sisi kama vijana wasomi na watu tunaotegemewa na jamii zetu tutakusanyika katika kujadili na kuchambua changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii yetu na sio kukusanyika kwa ajili ya mwanasiasa ambaye sifa zake na uhadilifu wake unatiliwa shaka katika jamii.Tunaomba mlijulishe Taifa, kuwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma hatujahusika na tukio lile isipokuwa wanafunzi wachache walitumika kwa kupewa pesa na wahusika wa tukio lile.Tunataka Taifa lijue hatupo tayari kutumia elimu zetu kulitia upofu taifa letu.

Waambieni mama zetu na baba zetu huku vijijini kwetu kuwa tumekuja kutafuta elimu ili ituwezeshe kuwakomboa wao na sio kutumika na Wanasiasa kwa malengo yao.Tunatambua haki ya mwanafunzi kuamua na kufanya shughuli za kisiasa nje ya maeneo ya vyuo, lakini hatukubaliani na wanafunzi wachache kuchafua na kuwapaka matope maelfu ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma ambao hawajahusika na tukio lile.Hii sio haki na haikubaliki.

Vilevile tungependa kutumia fursa hii kuwaasa wanafunzi wenzetu popote pale nchini, makundi mbalimbali ya kijamii (wakulima, wafugaji, wavuvi, wamachinga, wasanii, n.k), zikiwemo taasisi za dini kwamba watu wachache kuzungumza kwa niaba ya makundi juu ya mambo yanayogusa maamuzi ya mtu binafsi.

Mwisho tunatoa wito kwa wanafunzi wenzetu wote kujitambua na kutumie muda wetu kwa mambo ya msingi na muhimu kwa ustawi wa Nchi yetu. Na kuonesha jinsi wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma walivyokasilishwa na jambo hili, Tamko hili limesainiwa na wanafunzi 7821 toka vyuo mbali mbali vya Dodoma.Majina ya sahihi za wanafunzi zimeambatanishwa. Tusikubali kutumika na wanasiasa wa aina hii.

Asanteni

Mungu ibariki Tanzania,Mungu vibariki vyuo vikuu vya Dodoma.

Kwa niaba ya wawakilishi wa serikali za Wanafunzi Chuo cha Mipango,Chuo cha Madini, Chuo cha Hombolo,Chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) na CBE.

DANIEL DANIEL -Rais wa Saint Jonh’s University

26/03/2015

Mtatumika sana mwaka huu kama vyandarua, badala ya kujifunika wanafugia kuku na kuvulia samaki
 
Wamekurupuka tu baada ya kupewa pesa na Membe

Mkuu hawa wajinga kweli, hebu angalia hilo linaloitwa tamko lilivyoandaliwa, uandishi na mpangilio wa point hakuna correlation na hapo nipo najiuliza hivi mfumo wetu wa Elimu kumbe upo ICU? Hawa nao wanatafuta kick ili waende chooni. Mpaka kufikia July tutaona maajabu Dodoma.
 
Jonh's ndio chuo kipi??? au hata kuandika Jina la chuo chako unakosea...hizi zote ni mbinu chafu za kisiasa.....
 
fyuuuuuuuu, mtatumiwa sana kama kondom . Nyie aliyepa kibali cha kukanusha ni nani nyie wenyewe maraisi wa vyuo ni wezi tu tena huyo CBE , Mipango na Udom ndio wezi kabisa . Kama mtu unaiba mpaka fedha ya freshers wewe unafaa kuwa raisi . Maraisi wote hao wezi tu kuna wengine kati yenu mtafungwa tu mwaka huu.
 
Enzi hizo nikisoma chuo kikuu cha DSM miaka ya mwanzoni mwa 1990, wanasiasa walikuwa wakifikiria mara mbili mbili kabla hawajaamua kuja chuoni kwenye mihadhara ya kisiasa. Mwanasiasa aliyekuwa na mvuto kwa wanafunzi enzi hizo alikuwa Mch. Mtikila na alikuwa akija Nkuruma Hall kuongea sera zake za kupambana na magabacholi na Rais TX na Utanganyika. Hatukuwahi kuendorse mgombea yeyote wa nafasi za kisiasa.
 
Kama Edo kawalipa watu na kuwapa chakula kosa liko wapi? Na kama anafanya maigizo si, msubiri aumbuke? Fitina haisadii tena juu ya LOWASA ni rais wa Tz hamna mbadala. Kama kuna mwingine anayefaa tuambiwe ukizingatia hali ya nchi ilivyo sasa.
 
Hawa hamna kitu halafu ndio wasomi watarajiwa mimi kuna kautafiti nilishakafanya siku nyingi kuna jambo la kushangaza na la kufurahisa analoweza kufanya mtu ambae hana elimu na likamshangaza hata profesa manake hii jamii huwq inajitahidi kutumia akili ya kuzaliwa na kuchanganya na maarifa lakini kuna msomi hawa wanaojiita wasomi wanaweza kufanya kitu chenye kb 1mpaka ukajiuliza huyu ni msomi kweliii ama alifoji? Ukweli una baki kuwa ukweli samaki mmoja akioza ni wote wameoza.

Hao ni wehuwa ridhwan na membe wanajaribu kuuza bidhaa isyouzika...................karume ameshawaonya genge ndogo linalotumia jina la ccm kuuza bidhaa(mgombea) isiyouzika kuwa watakiua chama na wananchi wataifata bidhaa inayouzika ata kwa majabali
 
Back
Top Bottom