Tamko Rasmi la Wanafunzi wa Vyuo vya Dodoma

Tamko Rasmi la Wanafunzi wa Vyuo vya Dodoma

Riz na familia ya Jk hawapo na Membe kitambo walishamtosa hawamtaki kabsa kwenye URAIS wamebaki kuwa ndugu tu na pengine kumzuga kuwa wapo naye, chagua lao ni Pinda au Kinana au Wasira na lowasa baadae lakini Membe hana nafasi kwao walimtosa baada ya kugundua kuwa alikwapua mapesa ya Marehemu Gadafi kisha akamuua balozi wa libya kimafia, hawataki Rais ajae awe Mgeni wa The Hague Mahakama ya Uhalifu wa kimataifa.

mlipolala ndio tulikoamkia...membe na riz wanakesha wakhonga daily wanafunz na wajumbe na kutshia masheikh mstuibie JK moyon kila mtu anajua kua anampenda lowasa ila si familia yake.......karume ameshawaambia ccm wauze bidhaa inayouzka ambayo ni lowasa waachane na bidhaa ziszouzka ambazo ni membe na kna pinda......anakwambia asposmama lowasa haon presdent material mwngne
 
Hawa hamna kitu halafu ndio wasomi watarajiwa mimi kuna kautafiti nilishakafanya siku nyingi kuna jambo la kushangaza na la kufurahisa analoweza kufanya mtu ambae hana elimu na likamshangaza hata profesa manake hii jamii huwq inajitahidi kutumia akili ya kuzaliwa na kuchanganya na maarifa lakini kuna msomi hawa wanaojiita wasomi wanaweza kufanya kitu chenye kb 1mpaka ukajiuliza huyu ni msomi kweliii ama alifoji? Ukweli una baki kuwa ukweli samaki mmoja akioza ni wote wameoza.

Kufikiri hivi ni kuwa na akili fupi. 7000Vs 200 ni dhahiri wengi wamemkataa
 
wamedesa, mistari haina vina yenye vina haina maana, mmezoea kudesa hadi matamko.........kaaaaaaaa. Kigugumizi hadi kwenye maaandishi. Hapo mmeandika kiswahili kingekuwa kizungu..
 
mimi kwakweli napata wakati mgumu kiasi fulani kuhusu watu wanaoenda kumshawishi Lowassa agombee urais, maana kila kundi likienda kesho yake wanaibuka wengine kupinga. walianza Masheikh wa Bagamoyo, kesho yake akaibuka sheikh mkuu wa bagamoyo akawakana na kudai hawatambui hao masheikh. Wakaja wanafunzi wa vyuo vya Dodoma, leo hii marais wa hivyo vyuo wameibuka na tamko kupinga. Pia ilikuwa hivyo hivyo kwa wachungaji wa makanisa ya kipentecoste. Swali hapa hao wanaojitokeza kumshawishi Lowassa huwa hawawasiliana na viongozi wao wa juu?

Mkuu umeshahu hata wale wa jumuia ya wazazi CCM,nao mwenyekiti wao kakanusha,mbona tunalo mwaka huu,hata ukimtaka msichana kwa nguvu namna hii wakati yeye hakutaki matokeo yake ni kumbaka,naona sasa kuna wabaka uongozi.
 
Back
Top Bottom