Tamko Rasmi la Wanafunzi wa Vyuo vya Dodoma

Tamko Rasmi la Wanafunzi wa Vyuo vya Dodoma

CC
l.OWASSA NA BASHE WAKE
2.NAPE Nnawiye hongera sana11
3. Rostam Aziz na Karamage upumbafu wenu utaiponza nchi yetu nyie mtasepa Pakistani sisi tutakimbilia wapi?
4.Philip Mangula mshauri mwenyeiti wako mchezo wake ndio mauti yetu

acha uoga we binti unaheeema kwani kufa ni hela ngapi?
 
Tupo apa UDOM,
siku ile ya jumapili watu waliingia kwenye daladala zilizokuwepo hapa library wengine wakiwa wanajua wanaenda kwa mamvi ila wengine hawakujua mchezo wakadhani ni daladala za siku zote,safari ikaanza bila hata watu kudaiwa nauli na moja kwa moja hadi kwa mamvi,sasa nachoshangaa hapa waliokuwepo wengi ni viongozi wa ii UDOSO na wafuata mkumbo wengine...wametudhalilisha sana hawa wajinga
 
wee mwenyewe umetumia kalamu ya mwanasiasa kutolea hili tamko
 
Tatizo lenu nyie ccm ni kuwa wanakwenda kwa lowasa ni miatatu halafu anakanusha mmoja
 
Tunalipa ada tu, ila hata hivyo hamuelewi kitu, dadadadeeeeki zenu.
 
wasomi wazima mnakubali kutumika na mtu anayeutafuta urais kwa nguvu,mbona hatuwaon mkiandamana kudai haki ya kupatiwa mikopo ya elimu ya juu?

Wakiandamana wanaambulia kichapo na vilema juu lakini hii ya juzi walipeaa sapoti sasa jiulize hizi movie zao wanamchezea nani?
 
Tupo apa UDOM,
siku ile ya jumapili watu waliingia kwenye daladala zilizokuwepo hapa library wengine wakiwa wanajua wanaenda kwa mamvi ila wengine hawakujua mchezo wakadhani ni daladala za siku zote,safari ikaanza bila hata watu kudaiwa nauli na moja kwa moja hadi kwa mamvi,sasa nachoshangaa hapa waliokuwepo wengi ni viongozi wa ii UDOSO na wafuata mkumbo wengine...wametudhalilisha sana hawa wajinga

huwezi kuwa msomi ukawa ccm we mwenyewe ujielewi 60%ya wanavyuo nchi hii ni mbumbumbu kabisa ukiwemo wewe ni heri std seven
 
jamani mbona mnamvua nguo lowassa hadharani? Asanteni kwa tamko hili la kisomi siku nyingine msiruhusu yupumbavu kama huu nyie ni wasomi bwana.eboo
 
Hili kanusho limechelewa. Uhuni wa kisiasa haupaswi kuvumiliwa...though najua ingewachukua muda kujikusanya na kutoa tamko hilo.
 
Tupo apa UDOM,
siku ile ya jumapili watu waliingia kwenye daladala zilizokuwepo hapa library wengine wakiwa wanajua wanaenda kwa mamvi ila wengine hawakujua mchezo wakadhani ni daladala za siku zote,safari ikaanza bila hata watu kudaiwa nauli na moja kwa moja hadi kwa mamvi,sasa nachoshangaa hapa waliokuwepo wengi ni viongozi wa ii UDOSO na wafuata mkumbo wengine...wametudhalilisha sana hawa wajinga

Inaonyesha ni jinsi gani wasomi wa siku hizi msivyopenda kuzishughulisha akili zenu ina maana kama alshababu ilikuja kuwateka mngekufa wote mnazidi kuwapa mbinu maadui jinsi mlivyo dhaifu kufikiri navyojua mimi kwenye mihemko ya kisiasa jinsi joto linavyokuwa juu mkiwa wengi lazima maongezi yanakuwa ya kisiasa ina maana hao wasomi hawakuyasikia hayo na kuuliza kulikoni au waliondoka wakiwa na plasta mdomoni.
 
ukombozi wa nchi yeyote duniani huletwa na wasomi lakini hii ya kwetu ina wasomi wa 'pilau na wali'nataka niwaambieni kuwa ukomboz ndani ya nchi hi tutangoja sana NA HATA ALOTOA HILI TAMKO NI WA PILAU TU MANA NYUMA YAKE KUNA MWANASIASA Alompatia Kalamu Na Karatasi
 
Asante wasomi wenzangu wa Dodoma, watu tulianza kutilia shaka hadi matokeo yenu ya Form6, ila tunashukuru kwa kutupa muongozo.
 
nyie ndio mnaotumiwa na nepi mje kuupotosha umma wa watz sio,kw hilo mmechelewa sana mnakumbuka shuka tyr kumekucha,watz ujumbe umeshafika kwao kwamba makundi mbalmbali yana muunga mkono ktk mbio zake za kuwani urais tofauti na mtu yyte kwa sasa na el ndio tumaini la watz wengi,hizo propaganda zenu zimechelewa mno yan labda mngeanza kabla makundi kufika kwa el huenda mngefanikiwa kuturubun huo ujinga wenu,lowassa ndo habar ya mjin aisee bnafsi cjaona mbadala wake labda ww mleta mada nan unaona anacfa za kutuongoza zaidi ya el
mke wako
 
Lowasa na team yake wanazidi kuweweseka. Kwa vile hana uhakika wa kuchaguliwa na chama chake inabidi atafute namna ya kuushawishi umma wa watanzania kama anakubalika kumbe hakuna kitu. Ndo ule usemi usemao kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Maccm msije fanya kosa la kumpitisha huyu mpenda madaraka na mwizi.
 
Mmefanya vizuri kuliweka wazi suala hili japo mmechelewa kidogo. Pengine mlikuwa mnajipanga kutoa jibu muafaka. Haingii akilini kwamba wanafunzi wa vyuo vikuu wanafanya upuuzi kama huo.

Ya Masheikh tayari lipo bayana. Ni utapeli mtupu. La watu wa bodaboda wala halihitaji kuumiza kichwa sana. Kila timamu anajua usanii usiojificha. Tunasubiri majibu toka kwenye baraza la makanisa ya wapentekoste.

Ifike mahali Mheshimiwa Lowassa atambue kuwa watu wake wanamtumia kama kitega uchumi. Bila shaka anawawezesha lakini wanamfanyia kiini macho watafune hela zake.

Kama kweli lile suala la Masheikh wa Bagamoyo lililatibiwa na Prof. Kapuya, wasomi wenye hadhi hiyo watoe tamko kuhusu huyo mwenzao anayewadhalilisha. Heshima ya mtu kuitwa profesa inatoweka taratibu.

Mkuu hili baraza usilifananishe na TEC, ingekua TEC pangechimbika ndani ya mda mfupi lakini hapa kuna rupia usitegemee tamko lolote.
 
kwahiyo lowasa amedanganywa kumbe wale sio wasomi aisee!

bado tamko la kukana wale wachungaji.
 
Back
Top Bottom