Itabidi wakavunje zile fixed diposit walizokuwa wanasubiria interest
Mkuu nadhani hujanielewa...hao jamaa wa bodi za mikopo huwa wanachukua pesa za wanafunzi, wanapeleka fix deposit kwa miezi sita alafu wakishatafuna interest ndo pesa zinapelekwa kwa wanafunzi..mjini kugumunop tz tuko blessed sana pesa zipo nyingi tofauti na hizo zinazo bear interest
we pumba kweli kwani tz kuna bodi ngapi za mikopo alafu usinifundishe ishu za CREDIT CREATION na nikuulize kitu hivi bodi ina akaunti benki gani hapa tz na pesa za bodi huwa zinatoka hazina sasa sijui hiyo logic umeitoa wapi au ulikariri AMBILIKILE akakujaa kichwani sasa unatema urojoMkuu nadhani hujanielewa...hao jamaa wa bodi za mikopo huwa wanachukua pesa za wanafunzi, wanapeleka fix deposit kwa miezi sita alafu wakishatafuna interest ndo pesa zinapelekwa kwa wanafunzi..mjini kugumu
We kima ungejua unaongea na nani usingeharisha kupitia hilo domolako.we pumba kweli kwani tz kuna bodi ngapi za mikopo alafu usinifundishe ishu za CREDIT CREATION na nikuulize kitu hivi bodi ina akaunti benki gani hapa tz na pesa za bodi huwa zinatoka hazina sasa sijui hiyo logic umeitoa wapi au ulikariri AMBILIKILE akakujaa kichwani sasa unatema urojo
We kima ungejua unaongea na nani usingeharisha kupitia hilo domolako.
dah kweeli wewe ni popoma domo lipi tena huku jf sauti yangu unaijua eti naongea na nani hahahahah kweli shule na uelewa vitu viwili tofauti kama ni kujitambulisha kuna jukwaa lake mwambie moderator akuonyeshe ukajaze wasifu wako huko #hapa kazi tuWe kima ungejua unaongea na nani usingeharisha kupitia hilo domolako.
We kibaka karani wa Wadokozi Ltd leo unasema #hapa kazi tu?dah kweeli wewe ni popoma domo lipi tena huku jf sauti yangu unaijua eti naongea na nani hahahahah kweli shule na uelewa vitu viwili tofauti kama ni kujitambulisha kuna jukwaa lake mwambie moderator akuonyeshe ukajaze wasifu wako huko [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=hapa]#hapa [/URL] kazi tu
Jamaa inaelekea kaanza na moto ngoja tumsikilizie
Wale wapa kazi tu! Polen maana mlikuwa mnaomba tusipewe #mikopo
We kibaka karani wa Wadokozi Ltd leo unasema [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=hapa]#hapa [/URL] kazi tu?
Kama ni mnufaika wa pesa za wanafunzi mwisho leo!
Hata hivo usijidai kabla haujapata mkuu