.....Imetolewa: Februari 10, 2010
Meaning inatoka leo? Wapi? Kina nani? Subira ninayo..1. Viongozi wafuatao wasimamishwe mara moja katika uongozi wa chama kwa mujibu
wa Ibara ya 8.2.4 ya Kanuni za Maadili ya Chama na kwa vile tayari wameshachafuka
kutokana na uzito wa tuhuma mbalimbali (wengine hadi za kihalifu) hawastahili kuwa
viongozi katika nafasi yoyote ndani ya Chama. Tunataka viongozi hawa waamue
wenyewe kuachia nafasi zao au Chama kiwawajibishe mara moja. Kundi hili
limekipaka chama matope.
- Edward Lowassa MB
- Daniel Yona
- Rostam Aziz MB
- Andrew Chenge MB
- Basil Mramba MB
- Nazir Karamagi MB
- Makongoro Mahanga MB
- Felix Mrema MB
- Sofia Simba MB
- Kingunge Ngombale MwiruMB
- Robert Mboma (Gen. Mstaafu)
- Apson Mwangonda
- Stephen Wassira MB
- Johnson Mwanyika
- Gray S Mgonja
- Nimrod Mkono MB
-
Viongozi wengine wa chama nao washughulikiwe kwa mujibu wa kanuni na taratibu za
chama bila ya kuwaonea haya, kuwavumilia, kuwabeba au kwa namna yoyote ile kuwatafutia
udhuru wa kwanini wasishughulikiwa.
daaaah kazi ipo hii kitu ni nzito lakini ndo yale yale wanafanya mambo kwa jazba bila kuwa na mbinu za kupambana .....
Mapambano ya kweli hayafanyiki kwa kujificha......Wapambanaji wa kweli wajitokeze, tuwajue ili tuweze kuwaunga mkono...
Greetings dear friends; We received this document late last night from very reliable and impeccable sources. M has given the greenlight to release it as it is
Mwisho.
Tunaona yatupasa turudie tena maneno yale ya hekima kutoka katika Azimio la Arusha:
Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha, na tumepuuzwa kiasi cha
kutosha. Unyonge wetu ndio uliotufanya tuonewe, tunyonywe, na kupuuzwa. Sasa tunataka
mapinduzi; mapinduzi ya kuondoa unyonge ili tusionewe tena, tusinyonywe tena.Hatutaki kuonewa tena, hatutaki kunyonywa tena, na hatutaki kupuuzwa tena. TunatakaWapiganajiccm@yahoo.com
mabadiliko, mabadiliko ambayo Watanzania wenyewe wanayastahili na watayaongoza
kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 na baadaye. Mabadiliko ambayo yatafungua ukurasa mpya
wa mafanikio kwa kizazi cha sasa cha Watanzania na kizazi cha baadaye.
Wapiganaji CCM
.
Kabisa!wanaficha majina yao na sura zao wanadai wapambanaji upuuzi mtupu!
dward Lowassa MB
-
Daniel Yona
-
Rostam Aziz MB
-
Andrew Chenge MB
-
Basil Mramba MB
-
Nazir Karamagi MB
-
Makongoro Mahanga MB
-
Felix Mrema MB
-
Sofia Simba MB
-
Kingunge Ngombale MwiruMB
-
Robert Mboma (Gen. Mstaafu)
-
Apson Mwang'onda
-
Stephen Wassira MB
-
Johnson Mwanyika
-
Gray S Mgonja
- Nimrod Mkono MB
Ingekuwa nina mashaka nayo nisingeruhusu itoke... najua wengine nao wamepokea with more information..