Tamko la Wapiganaji CCM Feb 10, 2010

Tamko limekuja wakati muafaka?

  • Ndiyo

    Votes: 8 57.1%
  • Hapana

    Votes: 5 35.7%
  • Sijui

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .

Enigma

Senior Member
Feb 29, 2008
109
62
Greetings dear friends; We received this document late last night from very reliable and impeccable sources. M has given the greenlight to release it as it is.
 

Attachments

  • wapiganajiccm.pdf
    124.6 KB · Views: 381
daaaah kazi ipo hii kitu ni nzito lakini ndo yale yale wanafanya mambo kwa jazba bila kuwa na mbinu za kupambana .....
 
Wangetaja majina yao tungejua kweli wao wapambanaji na cyo wababaishaji.
 
Wapiganaji gani hao wasiokuwa na majina? Au ndo kuganga njaa kwenyewe huko?
 
Nimeipenda hii kitu. Naamini inatoka ndani ya wana CCM wenyewe. Kazi kwenu watawala wapenda hadithi!
 
wamejawana uwoga na ufitini hawana lolote ni wivu tu unawasumbua na roho ya kwanini?mngekuwa wapiganaji mngekuwa mnapokea posho mara mbili kama sio upunguani ni nini?
 
Imetolewa: Februari 10, 2010
.....

1. Viongozi wafuatao wasimamishwe mara moja katika uongozi wa chama kwa mujibu
wa Ibara ya 8.2.4 ya Kanuni za Maadili ya Chama na kwa vile tayari wameshachafuka
kutokana na uzito wa tuhuma mbalimbali (wengine hadi za kihalifu) hawastahili kuwa
viongozi katika nafasi yoyote ndani ya Chama. Tunataka viongozi hawa waamue
wenyewe kuachia nafasi zao au Chama kiwawajibishe mara moja. Kundi hili
limekipaka chama matope.
- Edward Lowassa MB
- Daniel Yona
- Rostam Aziz MB
- Andrew Chenge MB
- Basil Mramba MB
- Nazir Karamagi MB
- Makongoro Mahanga MB
- Felix Mrema MB
- Sofia Simba MB
- Kingunge Ngombale MwiruMB
- Robert Mboma (Gen. Mstaafu)
- Apson Mwang’onda
- Stephen Wassira MB
- Johnson Mwanyika
- Gray S Mgonja
- Nimrod Mkono MB
-
Viongozi wengine wa chama nao washughulikiwe kwa mujibu wa kanuni na taratibu za
chama bila ya kuwaonea haya, kuwavumilia, kuwabeba au kwa namna yoyote ile kuwatafutia
udhuru wa kwanini wasishughulikiwa.
Meaning inatoka leo? Wapi? Kina nani? Subira ninayo..
 
mmmh .......hawa wapiganaji hawana jina? au ndio usawa ule ule wa siasa za `kuogopana` na `kuoneana haya`?
 
Mapambano ya kweli hayafanyiki kwa kujificha......Wapambanaji wa kweli wajitokeze, tuwajue ili tuweze kuwaunga mkono...
 
Greetings dear friends; We received this document late last night from very reliable and impeccable sources. M has given the greenlight to release it as it is

Mwisho.
Tunaona yatupasa turudie tena maneno yale ya hekima kutoka katika Azimio la Arusha:​

Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha, na tumepuuzwa kiasi cha
kutosha. Unyonge wetu ndio uliotufanya tuonewe, tunyonywe, na kupuuzwa. Sasa tunataka
mapinduzi; mapinduzi ya kuondoa unyonge ili tusionewe tena, tusinyonywe tena.
Hatutaki kuonewa tena, hatutaki kunyonywa tena, na hatutaki kupuuzwa tena. Tunataka
mabadiliko, mabadiliko ambayo Watanzania wenyewe wanayastahili na watayaongoza
kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 na baadaye. Mabadiliko ambayo yatafungua ukurasa mpya
wa mafanikio kwa kizazi cha sasa cha Watanzania na kizazi cha baadaye.
Wapiganaji CCM
Wapiganajiccm@yahoo.com

.

Hatuna haja ya kubadilisha kilichooza. Tupa kilichooza, Weka Kipya. CCM iondoke madarakani mara moja. Au la MAPINDUZI.!!!!!!!!!!

Kama kweli tumechoka, basi tuchoke kutawaliwa na chama cha mafisadi, CCM.
 
Kabisa!wanaficha majina yao na sura zao wanadai wapambanaji upuuzi mtupu!

you are very right.. ila ninavyoelewa kila vita inapiganwa kitalaamu.. kama hii ni vita (naamini ndiyo) basi kile move ni ya kuiangalia kwa makini. Labda siku si nyingi tutawajua kwa majina yao..

Hii imekaa kininja ninja hivi LOL
 
dward Lowassa MB
-

Daniel Yona
-


Rostam Aziz MB
-


Andrew Chenge MB
-


Basil Mramba MB
-


Nazir Karamagi MB
-


Makongoro Mahanga MB
-


Felix Mrema MB
-


Sofia Simba MB
-


Kingunge Ngombale MwiruMB
-


Robert Mboma (Gen. Mstaafu)
-


Apson Mwang'onda
-


Stephen Wassira MB
-


Johnson Mwanyika
-


Gray S Mgonja
- Nimrod Mkono MB


hiyo ndio orodha ya wezi wa raslimali zetu, nikielelezo cha watu wezi na wanyama Tanzania/ monsters.
laana iwashukie popote walipo

 
Ingekuwa nina mashaka nayo nisingeruhusu itoke... najua wengine nao wamepokea with more information..

Wewe ndio umeruhusu itoke? Maana naona imetolewa na Enigma.

Hii inaitwa DIVORCE PAPER

Kwa style ya uandishi na hata nukuu hii kitu ni ya kutoka kwa wenyewe kabisa. Sasa kama ni mtu mmoja au kakundi miongoni mwao ni lingine. Hii ikiwekwa vizuri ni Ilani tosha ya uchaguzi.

Sasa wameweza kuwataja watuhumiwa bila kujitaja wao? Huu ni upungufu mkubwa sana kuacha statement iliyosheheni uzalendo kama hii mpaka damu inachemka bila ya kuweka majina.

Hapo ndipo inapoonyesha ukosefu wa kujiamini wa wanasiasa wa Tanzania. Toka uhesabiwe kwa mema au mabaya na sio kujificha ficha!
 
Back
Top Bottom