Tatizo hapa ni kwamba CCM wata"capitalize" kwa hii kwa kusema hawa ni wapinzani wanaojifanya ni wana CCM, kwa hiyo hoja yenyewe haitakuwa na uzito wowote ndani na nje ya CCM. Lakini "fighters" wakijieleza nasihi tukuwatazama kwa jicho la tatu na tukitambua kuwa ni wapiganaji wa kweli tutawunga mkono. "as it is now this is like a propaganda from" vyama vya upinzani na hautoki ndani ya CCM ila kuna kila dalili kuwa yawezekana inatoka ndani lakini hakuna hakikisho hilo kwa usiri uliopo.you are very right.. ila ninavyoelewa kila vita inapiganwa kitalaamu.. kama hii ni vita (naamini ndiyo) basi kile move ni ya kuiangalia kwa makini. Labda siku si nyingi tutawajua kwa majina yao..
Hii imekaa kininja ninja hivi LOL
Toka lini Mwanakijiji ameanza kujificha nyuma ya pazia katika kujenga hoja zake? Inawezekana ni wewe Shy uliyetuma nini maana unajua hata muda ambao email imefunguliwa.Hili tamko limeandaliwa na mwanakijiji ukidownload hiyo attachment angalia properties zake utaona ni m m mwanakijiji - lakini inawezekana sio kweli mtu huyo ameamua kuingiza mwanakijiji kwa sababu zake binafsi hata hivyo ukiangalia mtiririko wa lugha na mambo mengine ni yeye pamoja na yote hiyo email iliyokwepo hapo chini imetengenezwa leo saa 8 asb kwa saa za afrika ya mashariki mengine ni binafsi zaidi
mwanakijiji wacha kujificha nyuma ya pazia jitokeze
tabia hizi ni mbaya na chafu sana kwa maadili kwanini usiwe wewe
Wanaojiita wapambanaji katika CCM watoke CCM halafu waanzishe chama kingine au wagombee kama wagombea binafsi nasi tutawaunga mkono. CCM wote wanafanana na wote wameoza believe me or not CCM wana akili ya aina moja, awe ni mwanachama wa siku nyingi au aliyejiunga juzi wote lao moja tu, kuifisadi nchi hii. Ifike wakati tujiangalie, if you cannot move with the corrupt CCM get out of it, say it openly, wananchi will back you and you will win the election.Wajiondoe ndani ya chama ili waiokoe nchi. Huwezi kuokoka/kuokoa basi linalopinduka ukiwa ndani ya basi hilohilo wakati wewe si dereva.
Dereve wao kikwete doesn't care hata basi likipinduka, na wao wakiwa ndani!!!!!!
Kabengwe, umepangilia vizuri sana hii post yako mpaka nashawishika kuamini unajua jambo fulani. Well, tunaitakia nchi yetu kila la kheri maana kama ikiharibikiwa basi na sisi wote tumeharibikiwa.Inavyoonesha hawa wapiganaji hawana nguvu ya kutosha kujitokeza kwasasa, na huu waraka wanautoa kuangalia hali ya upepo ndani ya chama.
Nadhani objective yao kubwa ni kuangalia kama wataungwa mkono na key figures ndani ya chama. Wakipata uhakika wa support, lazma watajitokeza.
If at all they have the right people who can influence the politics of this country, I strongly advice them kujitokeza kwa awamu, wasijitokeze wote kwa pamoja. This move will attract media attention na itawapa mileage kubwa sana.
Nafikiri wamejipanga vizuri kwa hili wanalotaka kulisimamia
I wish them the best of luck
you are very right.. ila ninavyoelewa kila vita inapiganwa kitalaamu.. kama hii ni vita (naamini ndiyo) basi kile move ni ya kuiangalia kwa makini. Labda siku si nyingi tutawajua kwa majina yao..
Hii imekaa kininja ninja hivi LOL
Too late to have impact!! labda uwe mkakati wa miaka mingi ijayo... lkn kwa uchaguzi wa mwaka huu, Mafisadi wanachukua nchi!
Ndio halafu cha zaidi rudisha document hiyo kwenda word angalia track changes utaona ninachoongelea mimi huyo aliyejibu na kupewa thanks anajaribu kumlinda , halafu pia angalia hiyo email address , nenda kwenye yahoo profiles angalia imesajiliwa na nani toka lini , utaona kuna alternative email hiyo pia inasema mengi
2. Wahusika wakuu wa kashfa hizi zifuatazo washughulikiwe kichama na kiserikali
ikiwemo ni pamoja na kufikishwa mahakamini chini ya sheria ya Mitandao ya Kihalifu
na Uhujumu Uchumi ya 1984. Tunatambua baadhi yao ni wale ambao
tumependekeza hapo juu wawajibike wenyewe kwa kuachilia nafasi za uongozi ndani
ya chama.
· Kashfa ya Loliondo ambapo urithi wa watoto wetu uliuzwa na umeendelea kuuzwa
kwa wageni.
· Kashfa ya IPTL -
· Kashfa ya Commodity Import Support
· Kashfa ya Mgodi wa Kiwira
· Kashfa ya Akaunti ya EPA
· Kashfa ya Meremeta Ltd, Mwananchi Gold, Deep Green Finance, na Tangold
· Kashfa ya Rada
· Kashfa ya Ununuzi wa Airbus
· Kashfa ya Ununuzi wa Gulfstream 500 (ndege ya Rais)
· Kashfa ya Richmond
· Kashfa ya Dowans
· Kashfa ya magari, silaha na helikopta za JWTZ
· Kashfa ya silaha haramu
· Kashfa za madawa ya kulevya
· Kashfa ya uuzwaji wa maeneo wazi
· Kashfa ya misamaha ya kodi ya Alex Stewart
· Kashfa ya Ujenzi wa Minara miwiliya Benki Kuu
- Tujadili hoja na kuwafikishia wahusika, mbona hapa tunatumia majina ya bandia sometimes mbona huwa tunaihsia kujivua nguo wenyewe na maswali yasiyo na msingi, tujadili hoja jamani walioandika sio muhimu sana wala sihitaji kuwajua!
Respect.
FMEs!