TAMKO la UVCCM Arusha 25/5/2011 SOMA UJIONEE!

Ni kweli kabisa, tamthilia ya makundi bado inaendelea! Chitanda amebuni namna ya kutoka kivingine!

This is good for Chadema maana Chatanda kajimaliza mwenyewe. The other day it was against him kipindi hiki kaandika halafu anasema vijana wa Arusha. Barua gani haijaandikwa muwasilishaji, watu wamekaa wapi na lini na saini ya maana. Hii ni karatasi ya kufungia mihogo tu. Chatanda hapo kapotoka! Karuka mkojo kakanyaga kinyesi. Hata hivyo inaonyesha kuwa CCM kwa sasa iko disorganised na kinachotakiwa ni kuvunja umoja huo na kuunda upya kama kweli CCM inataka kujiimarisha kwa siku za usoni.
 
Well said mkuu

UVCCM ina uongozi kama watu wanasema bila kuwa na uongozi hilo ni genge tu. Kwa mantiki hiyo hayo maneno hayatoki kwa UVCCM kwani lazima ingetolewa na viongozi. Huwezi kusema CCM wamesema wakati hakuna hata kiongozi mmoja wa CCM aliyesema ama aliyenukuliwa. Huu ni utaahira wa mawazo na fikra.
 
Hapo kwenye kipengele cha Mary Chatanda panatia shaka! Panaleta picha ya hawa vijana kuwa wamehongwa na wametumwa na Bi mdogo huyo kutoa hilo tamko. Wakazi wa Arusha tunafahamu vzuri kabisa kuwa huyo mama hajafanya lolote Arusha zaidi ya kusababisha maafa makubwa yaliyosababisha jiji letu hadi leo kuwa bila meya. Kama haitoshi, akawatukana na kuwadhalilisha viongozi wetu wa kiroho bila kujali kuwa ndio wanaotuonesha na kuvongoza njia ya kwenda peponi! Ndio maana nakitilia shaka hicho kipengele sababu mkazi yeyote wa hapa Arusha hawezi kumsifia huyo mama na hata kumwona hatutaki!
 
Chatanda atakuwa katoa rushwa ngono ili wamsafishe

Hapa hajasafishwa mtu bila katiwa najisi kama alikuwa msafi. Na atakuwaje msafi mtu asiyekuwa na haya anayeweza kunyanyua mdomo wake kuwakejeli na kuwatusi wazee na viongozi wa kidini? Ni msafi gani anayeweza kunyanyua mdomo wake na kutukana wazee kama Malecela? Usafi wa mtu upo kwenye kinywa chake. Anenacho mtu ndiyo moyo wake ulivyo!
 
HII NI ISHARA YA MWISHO WA NYAKATI ZA CCM. PIA KWA MTU ULIENDA SHULE HUWEZI KUANDIKA UPUUZI USIO NA MAADILI KAMA HUU WA UVCCM ARUSHA. JE HAWA NDIYO VIONGOZI WANAOANDALIWA KUKICHUKUA CHAMA SIKU ZA USONI? SIDHANI KAMA KUNA KITU HAPO. nI KWELI MAFISADI WANASTAHILI KUSULUBIWA
 
hi barua ni ya kiofisi kweli. mbona lugha iliyotumika sio sawia. au elimu inaleta shida kidogo? 4 sure nina shida kidogo na IQ YA MWANDISHI.
 
Mwaka huu mboni mambo???!!! Nashawishika kuamini kuwa tamko hili not official, maana haikuandikwa ktk headed paper au nembo ya Chama, hakuna, muhuri, Ref. No. etc! Tamko linaonyesha lengo kubwa lilikuwa ni kumpigia debe Chatanda, kama vile tamko limeandikwa na kijikundi fulani. Siasa za makundi kweli ni mbaya sana!
 
UVCCM ina uongozi kama watu wanasema bila kuwa na uongozi hilo ni genge tu. Kwa mantiki hiyo hayo maneno hayatoki kwa UVCCM kwani lazima ingetolewa na viongozi. Huwezi kusema CCM wamesema wakati hakuna hata kiongozi mmoja wa CCM aliyesema ama aliyenukuliwa. Huu ni utaahira wa mawazo na fikra.
Uvccm na ccm yenyewe wanazidi kujimaliza kabisa. Jambo la ajabu hakuna mtu mwenye hekima hata mmoja toka ccm anayefungua kinywa kukemea huu mchezo mbaya. Nadhani makamba alikuwa more effectivve than mukama ambaye yuko mum kabisa as if everything is ok
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom