TAMKO la UVCCM Arusha 25/5/2011 SOMA UJIONEE!

TAMKO la UVCCM Arusha 25/5/2011 SOMA UJIONEE!

pengo huhibiri kanisani kuhusu siasa. jee na yeye kichekesho?

pengo ni nani ktk siasa! ? taifa la uturuki ni zuri waislam wa kule wako smart sana elimu jeshi uchumi bora,wa huku sijui wamechovywa wapi kukurupuka tu !wanaongea Upepo tu?imam kama huyo sijui kama Alitawadha hata!
 
huu ndio udini wenyewe, shehe katumwa na chatanda?? waislamu wajitoe hata kama wanaona maasi yanafanyika?

Umeisoma habari yote au wewe ndio unaosumbuliwa na UDINI?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Waislam wajitoe kwenye vurugu ili iwe nini, ionekane wakristu ndio mabingwa wa vurugu! maimamu bwana ndio upeo wake juu ya vurugu za uvccm arusha ulipoishia

Huyu Imamu alichokosea labda asingesema vijana wa kiislamu labda angesema vijana wetu; Lakini pia ni Waislamu kwa wale tunaoufahamu huu ugomvi ni kwamba vijana wengi wanaotumika ktk huu mgogoro wanatoka ktk kata ya kati ambapo wengi ni waislamu na bado CCM ina nguvu sana hawa vijana ni wa mitaa ya Bondeni, Pangani na baadhi wanatokea kaloleni na wengi wao ni watoto wa wale wazee wa kiswahili na wengine ni watoto wa viongozi wa misikiti na Bakwata. Na kwa taarifa yenu kinachomuumiza huyu Imamu sio vijana wa kiislamu kujiingiza kwenye mgogoro ni kwa sababu hawa vijana wamegawanyika na wako ktk makundi yanayohasimiana. Kundi moja linalodai linapinga ufisadi na kumuunga mkono Mary Chatanda linaongozwa na Ally Babu na hili kundi haliungwi mkono na vijana wote wa Manispaa na hili kundi inasemekana linapigwa tafu na vigogo wa makao makuu akiwemo na Riz1. kundi la pili ambalo liko chini ya James Millya na Ally Bananga hili halimtaki Mary Chatanda na inasemakana linafadhiliwa na EL, huku kukiwa na kundi la tatu la vijana toka mitaa hiyo hiyo ya Pangani na Bondeni ambaalo liko kotekote wao wanahudhuria sahemu zote ili mradi wangagnga njaa, sasa kinachomuumiza huyu Imamu na wazee wengine wa hapo BOndeni na Pangani ni kugawanyika kwa vijana hawa na sio sababu ya malumbano, wao wenyewe wako upande fulani, hata anavyosema watawaona wazazi wao ni kweli washawaendea wazazi wa baadhi ya vijana ila wengi wao waliofatwa hadi sasa hivi ni wale wa upande wa MIllya. Na sio kwamba vijana wote wanaipenda CCM kihivyo ila wamekuwa wakitishiwa kwamba wasipounga mkono CCM, watakatazwa kusimamia stand chini ya mwamvuli wa Akiboa, watazuiwa kufanya biashara ya mirungi, na privellege kibao ikiwa pamoja na kutokusumbuliwa na polisi na mifano ipo wale baadhi ya vijana wa kaloleni waliounga mkono CDM waziwazi ilibidi wazazi wao wawaombee radhi. Cha muhimu sio kwamba hawa viongozi wameguswa na vijana wa kiislamu kuhusika ktk malumbano ila ni kwa nini walumbane wao kwa wao. si tunawacheki tu nafkiri wamesahau jinsi tulivyotembeza kichapo wakati ule hapo msikiti wa ijumaa na kumtoa Yunisi we waache wapime tu
 
Mbona tunakurupuka? Tumejiuliza mleta thread hii ni nani? ni MS mnajua nini lengo lake, ni kutuvuruga atutoe ktk mjadala hai wa hali yetu ya maisha magumu. Hivi akitajwa IMAMU tu ndio kiongozi wa kiislamu? Hapana, Imamu alietajwa hapo ni kiongozi wa sala husika si kiongozi wa waislam au uislam.
Angalieni sign ya MS mtaelewa nini makusudio yake.
Tuifanye kuwa ni hoja, Imamu amekosea mrekebishe hapo hapo unatuletea hapa JF ndio kituo cha polisi? Hebu tueni makini na mada zinazoletwea humu ndani wasianze kutuparaganyisha magamba.
 
WALILIA, WALINITA FISADI, MDINI NA MZUSHI WAKANIFUNGIA, WAKANITOA, WANANISUSIA, WATASHINDWA BAADAE WATARUDI LKN MS HAWI KUNDI MOJA ." GANDA JIPYA"

Mwidho wa akili za kuazima
 
Jamani hili gamba ni gumu sana yani nawahurumia hawa jamaa maana wanawavisha vijana mabomu ya nuclear tena kwa bei nafuu na kweli yanalipuka duuu,,,, leo ni siku ya 49 kati ya 90 waliozitoa hawa wazee wa magamba yani hata 1% ya gamba haijatoka, je hizo siku 41 zilizobaki watakuwa wamejivua hilo gamba???? sisi yetu macho...
 
Back
Top Bottom