Tamko la Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) kuhusu suala Ben Saanane kutojulikana alipo

Haya Ben amefichwa na Chadema, na hao saba waliookotwa Mto Ruvu wakiwa marehemu wametupwa na nani huko?Tafadhali tuwe na soni kidogo tunapozungumzia uhai wa mtu!
Hizi ngojera za chama lenu la matamko tumechoka nalo hatutaki ujinga kabisa utasikia mda simrefu heche au sugu naye atajificha halafu watoe tamko.
 
Inasikitisha sana kama kuna jambo linalotishia uhai wa mtu na bado watu wanaleta mzaha. Lakini mbaya zaidi ni kama mhusika au watu wanaofanya kazi naye karibu wanajua alipo na ahawatoi taarifa. Ni mbaya kupita maelezo maana ikijagundulika alikuwa amesafiri tu, au alikuwa sehemu kufanya kazi fulani, itasababisha hata siku baya likimtokea hakuna atakaye jali.maana itakuwa ni mazoea tu, mbona kipindi fulani alipoteaga kumbe alikuwa amesafiri tu...kumbe kwa hicho kipindi mtu yupo kwenye hati ya kupoteza uhai.

Tujifunze kuacha mzaha kwenye mambo muhimu haswa yanayohusu uhai wa mtu.
 
Huyo Ben pia ni mwanausalama wa CDM, hivyo kuna taarifa kuwa Amepelekwa kusoma zaidi kati ya Israel au Afrika kusini, hizi ni taarifa ambazo si rasmi.

Ila kama si kweli, basi tumuombe Mungu aepushie mbali mambo mengine.
Thats why they pre decided to be "no say"!
Halafu we Francis12 tangu lini mashushushu wanaaga familia zao?!

BTW mchango wa Ben kwenye harakati za kimageuzi ni remarkable, hautakufa utadumu milele na milele hata kama wamemfanyia lolote baya.
 
Thats why they pre decided to be "no say"!
Halafu we Francis12 tangu lini mashushushu wanaaga familia zao?!

BTW mchango wa Ben kwenye harakati za kimageuzi ni remarkable, hautakufa utadumu milele na milele hata kama wamemfanyia lolote baya.
Mchango gani?
 
Natamani upotee wewe.au mwanao ndo ujue uchungu ilivyo....acha utani kwenye uhai, ubinadamu kwanza
Chadema mnafanya mambo ya kijinga sana!

nitekwe bila sababu?

Tanzania iko na matatizo mengi sana ya kutatua ila naona chadema mnazidi kuyaongeza makusudi bila sababu sozote za msingi

Tuache ujinga tumuunge mkono rais kwenye jitihada za kuleta maendeleo kwenye nchi yenu, uache utoto

Huu ni mda wa kazi bampa to bampa
 
Malisa GJ siku izi ni mwenyekiti wa Chadema? Na huyu Bob Chacha Wangwe ni mwanasheria wa Chadema ? Kama ni kweli basi chadema imekufa kifo cha mende chali chali yaani mwanasheria ni huyu aliyeshindwa kutambua sheria ya mitandao hadi akachangiwa milioni 7? You can't be serious au maigizo ya bongo movies
 
Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi, Serikali ina jukumu la kulinda raia yeyote yule, na si kumteka.

Hivyo ni jukumu la Serikali kuuambia umma alipo Bwana Ben Saanane
 
Back
Top Bottom